Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

soma biblia bila kufungwa na upande wwte yaan uwe huru ata kujikosoa! utailewa bible vzr sana
Na wewe ukisoma biblia zingatia misamiati iliyotumika ,wewe utajuaje kama kitu kina kilevi kwa kuonja tu?
 
Mimi nimekosoa mtazamo wako kuwa, hapo waumini wa kikatoliki walipokuwa wakinywa 'gongo' sio ndani ya kanisa bali ni nje ya jengo la kanisa. So what?
Yaani unataka kusema, gongo inywewe nje ya nje ya jengo lakini sio ndani ya jengo. Logic ni ipi?
Sawa hapo ni ndani ya Kanisa na gongo inapaswa inywewe ndani ya Kanisa ndiyo waumini watalewa vizuri na kufurahi!

How about that,umejisikia amani sasa?
 
Unywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
nimesema unywaji pombe ni upumbavu na walevi ni wapumbavu ndugu
 
Sawa hapo ni ndani ya Kanisa na gongo inapaswa inywewe ndani ya Kanisa ndiyo waumini watalewa vizuri na kufurahi!

How about that,umejisikia amani sasa?
Mimi nimeseka haya....
-Unywaji wa gongo kwa mkatoliki ni halali, na hata mapadri wanakunywa vizuri tu.
-Eneo la kanisa katoliki ni jengo na viunga vyake vyote kulizunguka.
-Gongo inaruhusiwa kunywewa na mkatoliki mahali popote hata kanisani.
 
Mimi nimeseka haya....
-Unywaji wa gongo kwa mkatoliki ni halali, na hata mapadri wanakunywa vizuri tu.
-Eneo la kanisa katoliki ni jengo na viunga vyake vyote kulizunguka.
-Gongo inaruhusiwa kunywewa na mkatoliki mahali popote hata kanisani.
Exactly hakuna ulipokosea.

Yote umeandika sawa,na ni kweli...kweli kabisa na kwa kuengezea hata pakiwa na uwezekano wa kufanya ngono watafanya.!!!umejihisi amani sasa?
 
kanisa liwape na bangi pamoja na mirungi wakilewa wajinye na zinaa zindele ndani ya hivyo viunga

hovyo kabisa
 
Vipi na wale watakao kuta mabikra 72 na mito ya pombe kule? Sa si bora mvinyo unyweke hapa hapa duniani.
 
Hilo nimeshalijibu.
Kama neno Divai kwenye muujiza wa harusi ya kana wewe umelistafiri kuwa ni pombe, hapo utakuwa umekosea sana. Kwanini? Haiwezekani Yesu afanye muujiza wa kutengeneza 'pombe' harusini, halafu watu wote wanyee mpaka watosheke (walewe?) halafu tukio hilo limrumdishie tena Mungu utukufu. Haiwezekani.
Unywaji wa pombe vilivyo unawezaje kumrudishia Mungu utukufu?
Kwa akili ya kawaida kabisa, popote pale, hata leo hii, mahali penye unywaji wa pombe ya kutosha panajaa uovu na kumpa utukufu shetani.
Neno divai n pembo itokanayo na mvinyo ambayo n uzao wa mzabibu,rejea muujiza wa harusi ya kana,
 
Back
Top Bottom