Mitume ni wanadamu hawajakamilika wote walikuwa na makosa yao.Acha kutaja mitume wa Allah kama unataja list ya mamonitor wako wa darasa wa shule ya msingi, huyo nuhu aliefanya hilo tukio labda nuh mziwanda, mafundisho yaliyobadilishwa kwenye biblia yamewatusi sana mitume.
Acha hasira ndugu, jifunze maandiko na soma historia.Yaani kanisa lililouanzisha huo ukristo na mifumo yote ya ukristo mnawaita wapagani? Na wakati huo huo mnatumia mafundisho Yao, kalenda Yao, maandiko Yao, ktk hivyo vijidhehebu vyenu vilivyomsaliti mroma?
Akili huwa mnaweka wapi, kama mmeamuwa kuukataa upagani wa roma, basi anzisheni maandiko yenu na mifumo yenu ya kikanisa, maana hizo biblia zimehaririwa na mrumi ambaye mnamuona hayuko sahihi, what if ninyi ndie ambaye hamko sahihi?
Anyway Mungu wenu mnamuabudu kwa tabu sana maana Kila kanisa na mambo yake, Kila dini na mambo yake, alafu mnataka kutuaminisha tusiofuata dini zenu kuhusu wema na utukufu wa huyo Mungu mdhaifu asiyeweza ku-organize kanisa lake
Mke na mume wanaweza kungonoka eneo la parking ya kanisa??Waulize tu swali hiyo pombe wameinywea wapi?
Ndani ya Kanisa (kama nyumba ya Ibada) au nje ya Kanisa (eneo la parking) ambapo yeyote anafanya anachokitaka?
Pilau inatakiwa ule sahani ngapi ili iwe kiasi? Soda unatakiwa unywe ngapi ili iwe kiasi?Kiasi ni kipi mkuu,mf.Kilimanjaro premium lager ya baridi ndogo unatakiwa unywe ngapi ndio iwe kiasi...?
Naona umechanganya mambo, hoja hapa sio dhambi ya pombe.Kwani kwenye amri 10 Kuna ulevi au kunywa pombe au mimi sielewi ukiristo.Utashangaa Kuna watu wanashupalia kunywa pombe ni dhmbi wakati hawakemei vitu vilivyoorodheshwa kwenye amri 10.ambavyo ndivyo vinavyo angamiza Dunia.Ubaya wa pombe ni kuwa ukilewa unatoa au unaondoa kujitambua hivyo nafsi yako inaweza kushambuliwa na vitu Vibaya ikiwemo hasira ,uzinzi nk ndio maana dini nyingi zinaona dhambi.
Ahahahahaha!!!Acha kutaja mitume wa Allah kama unataja list ya mamonitor wako wa darasa wa shule ya msingi, huyo nuhu aliefanya hilo tukio labda nuh mziwanda, mafundisho yaliyobadilishwa kwenye biblia yamewatusi sana mitume.
Mlevi hawezi kuingia kwenye ufalme wa Mungu.Yaani kanisa lililouanzisha huo ukristo na mifumo yote ya ukristo mnawaita wapagani? Na wakati huo huo mnatumia mafundisho Yao, kalenda Yao, maandiko Yao, ktk hivyo vijidhehebu vyenu vilivyomsaliti mroma?
Akili huwa mnaweka wapi, kama mmeamuwa kuukataa upagani wa roma, basi anzisheni maandiko yenu na mifumo yenu ya kikanisa, maana hizo biblia zimehaririwa na mrumi ambaye mnamuona hayuko sahihi, what if ninyi ndie ambaye hamko sahihi?
Anyway Mungu wenu mnamuabudu kwa tabu sana maana Kila kanisa na mambo yake, Kila dini na mambo yake, alafu mnataka kutuaminisha tusiofuata dini zenu kuhusu wema na utukufu wa huyo Mungu mdhaifu asiyeweza ku-organize kanisa lake
Asante. Unasemaje sasa kuhusu mhadhara wa YESU NA MUHAMMAD?Kama una swali lolote kuhusu Biblia na tunahitaji kulielewa watafute tu Mashahidi wa Yehova
Yaani hao dini yao ndo hamna kabisa. Hawajiulizi kwanini wakatazwe kunywa pombe hapa duniani halafu eti Peponi wataruhusiwa kunywa. Kitabu kina vituko sana kile.Vipi na wale watakao kuta mabikra 72 na mito ya pombe kule? Sa si bora mvinyo unyweke hapa hapa duniani.
Unatetea dhambi, sheria ya Mungu huwa haina utetezi. Walevi wote, wanywa pombe, wazinzi na waesherati wanatenda dhambi wawe wakiristo au walokole wote wanatenda dhambi.Uzinzi wanafanya walevi tu,,,,,hao walokole wanaokatazwa pombe na huko misikitini wangekua watakatifu kama shida ni pombe tu
Narudia tena mitume walikingwa na makosa na madhambi makubwa, mtume mlevi mbakaji wa watoto wake, alikuja kuwaita watu kwenye nini duniani? si vyema kuwatukana hawa watu wenye nafasi kubwa.Mitume ni wanadamu hawajakamilika wote walikuwa na makosa yao.
Unatetea dhambi, sheria ya Mungu huwa haina utetezi. Walevi wote, wanywa pombe, wazinzi na waesherati wanatenda dhambi wawe wakiristo au walokole wote wanatenda dhambi.
Wapeleke polisi au washitaki kwa MunguAcha hasira, jenga hoja au pinga hoja.
Hoja hapa ni gazeti la mwananchi kuonyesha waumini wa kanisa katoliki wakinywa 'gongo' ndani ya viunga vya kanisa kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Hii imekaaje kwako?
Ni jambo la kujivunia au kulaaniwa?
Tafuta tiba ya akili, na ninakwambia hivi nikimaanisha.Namaanisha, MUNGU, YESU, ROHO MTAKATIFU NI WASABATO .
Wanashika Amri kumi ikiwemo amri ya Nne yaan siku ya sabato , na wanajiita kabisa ni Bwana wa SABATO .
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya wakosefu hakuja kwa ajili ya wenye kujiona wamekamilika.Mada hapa ni tafrija ya kunywa gongo katika kanisa katoliki.
Hii imekaaje?