Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Acha kutaja mitume wa Allah kama unataja list ya mamonitor wako wa darasa wa shule ya msingi, huyo nuhu aliefanya hilo tukio labda nuh mziwanda, mafundisho yaliyobadilishwa kwenye biblia yamewatusi sana mitume.
Mitume ni wanadamu hawajakamilika wote walikuwa na makosa yao.
 
Kabisa katoriki halijazuia waumini wake kunywa pombe, lakini haliruhu pombe kunywewa kanisani. Gazeti la mwananchi limeona biashara ngumu linakuja na habari za kimbea. Sidhani hata story imebalance kwa sababu baada ya kugundua waumini wanakunywa pombe nje ya kanisa wangewafata viongozi wahusika na kupata msimamo wao. Hao waliowekea kwenye picha wanaweza kuwashitaki kwa kuingilia faragha zao.
 
Kichwa cha habari kinasema nje ya kanisa halafu habari inasema kanisani, tukienda hapo kanisani tutakuta Kuna baa inauza pombe?
 
Yaani kanisa lililouanzisha huo ukristo na mifumo yote ya ukristo mnawaita wapagani? Na wakati huo huo mnatumia mafundisho Yao, kalenda Yao, maandiko Yao, ktk hivyo vijidhehebu vyenu vilivyomsaliti mroma?

Akili huwa mnaweka wapi, kama mmeamuwa kuukataa upagani wa roma, basi anzisheni maandiko yenu na mifumo yenu ya kikanisa, maana hizo biblia zimehaririwa na mrumi ambaye mnamuona hayuko sahihi, what if ninyi ndie ambaye hamko sahihi?

Anyway Mungu wenu mnamuabudu kwa tabu sana maana Kila kanisa na mambo yake, Kila dini na mambo yake, alafu mnataka kutuaminisha tusiofuata dini zenu kuhusu wema na utukufu wa huyo Mungu mdhaifu asiyeweza ku-organize kanisa lake
Acha hasira ndugu, jifunze maandiko na soma historia.
Yesu hakuwahi kuwa mrumi, hakuzaliwa Roma, hakuishi Roma, hakuwahi kwenda Roma. Yesu alizaliwa mashariki ya kati, akaishi Afrika akiwa mdogo, alipoanza kukua akarudi Mashariki ya kati, akaishi huko mpaka alipokufa, kufufuka na kupaa zake mbinguni. Kwa hivyo wenye kujua historia kamili ya Yesu ni watu wa mashariki ya kati na Afrika, na hao ndio wameandika vitabu vilivyopo ndani ya Biblia vya agano kipya.

Ukristo haukuanzia Italy, ulikwenda Italy kama vile ulivyokuja hapa Tanzania, ulipokelewa na watu kama ulivyoletwa hapa kwetu.

Wapagani wa utawala wa Italy waliuchukua ukristo wa kale na kuuboresha kuendana na tamaduni zao na kisha kuueneza duniani, na huo ndio unaitwa ukatoliki.
 
Waulize tu swali hiyo pombe wameinywea wapi?

Ndani ya Kanisa (kama nyumba ya Ibada) au nje ya Kanisa (eneo la parking) ambapo yeyote anafanya anachokitaka?
Mke na mume wanaweza kungonoka eneo la parking ya kanisa??
 
Kiasi ni kipi mkuu,mf.Kilimanjaro premium lager ya baridi ndogo unatakiwa unywe ngapi ndio iwe kiasi...?
Pilau inatakiwa ule sahani ngapi ili iwe kiasi? Soda unatakiwa unywe ngapi ili iwe kiasi?
 
Kwani kwenye amri 10 Kuna ulevi au kunywa pombe au mimi sielewi ukiristo.Utashangaa Kuna watu wanashupalia kunywa pombe ni dhmbi wakati hawakemei vitu vilivyoorodheshwa kwenye amri 10.ambavyo ndivyo vinavyo angamiza Dunia.Ubaya wa pombe ni kuwa ukilewa unatoa au unaondoa kujitambua hivyo nafsi yako inaweza kushambuliwa na vitu Vibaya ikiwemo hasira ,uzinzi nk ndio maana dini nyingi zinaona dhambi.
Naona umechanganya mambo, hoja hapa sio dhambi ya pombe.

Hoja hapa ni video ya waumini wa kikatoliki wakinyweshwa gongo maeneo ya viunga vya kanisa ili kujipongeza kuukaribisha mwaka mpya. Hii imekaaje?
 
Yaani kanisa lililouanzisha huo ukristo na mifumo yote ya ukristo mnawaita wapagani? Na wakati huo huo mnatumia mafundisho Yao, kalenda Yao, maandiko Yao, ktk hivyo vijidhehebu vyenu vilivyomsaliti mroma?

Akili huwa mnaweka wapi, kama mmeamuwa kuukataa upagani wa roma, basi anzisheni maandiko yenu na mifumo yenu ya kikanisa, maana hizo biblia zimehaririwa na mrumi ambaye mnamuona hayuko sahihi, what if ninyi ndie ambaye hamko sahihi?

Anyway Mungu wenu mnamuabudu kwa tabu sana maana Kila kanisa na mambo yake, Kila dini na mambo yake, alafu mnataka kutuaminisha tusiofuata dini zenu kuhusu wema na utukufu wa huyo Mungu mdhaifu asiyeweza ku-organize kanisa lake
Mlevi hawezi kuingia kwenye ufalme wa Mungu.
Sasa kama kanisani wanalewa pombe watu wa vilabuni na bar watakuja huko kanisani kujifunza nini? Bora wabakie vilabuni hukohuko.
BADALA YA KUJAZWA NA ROHO WA MUNGU WANAJAZWA NA ROHO YA ULEVI WANAANZA KUTUKANA HOVYO NA KUFANYA UZINZI.
MUNGU HAKAI SEHEMU KAMA HIYO
 
Vipi na wale watakao kuta mabikra 72 na mito ya pombe kule? Sa si bora mvinyo unyweke hapa hapa duniani.
Yaani hao dini yao ndo hamna kabisa. Hawajiulizi kwanini wakatazwe kunywa pombe hapa duniani halafu eti Peponi wataruhusiwa kunywa. Kitabu kina vituko sana kile.
 
Unatetea dhambi, sheria ya Mungu huwa haina utetezi. Walevi wote, wanywa pombe, wazinzi na waesherati wanatenda dhambi wawe wakiristo au walokole wote wanatenda dhambi.
 

Attachments

  • images - 2025-01-01T130340.051.jpeg
    images - 2025-01-01T130340.051.jpeg
    34.6 KB · Views: 1
  • download (6).jpeg
    download (6).jpeg
    12.8 KB · Views: 1
  • images - 2025-01-01T130845.635.jpeg
    images - 2025-01-01T130845.635.jpeg
    37.3 KB · Views: 1
Anaekunywa Konyagi asimuone yule anayekunywa fanta ni Mpuuzi and Vice versa
 
Acha hasira, jenga hoja au pinga hoja.
Hoja hapa ni gazeti la mwananchi kuonyesha waumini wa kanisa katoliki wakinywa 'gongo' ndani ya viunga vya kanisa kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Hii imekaaje kwako?
Ni jambo la kujivunia au kulaaniwa?
Wapeleke polisi au washitaki kwa Mungu
 
Back
Top Bottom