Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Ukisema kwa makusudi ndio nini limeonyesha uhalisia yanayotendeka huko konyagi ikinywewa hukimbilia kichwa cha chini kifuatacho hapo wala hakielezeki kwa hao waumini!
 
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Huyo mwandishi kilaza kweli kweli. Anachikuwa mafundidho anayodanganywa kwenye dini yake anadhani wakatoliki wapo hivyo?

Toka enzi na enzi pombe kwa mkatoliki ni sehemu ya chakula na lazima skibariki kala jajanywa kama chakula kingine. Iwe kanisani au sehemu yoyote kwenye sherehe. za wakatoliki pombe ni kiungo muhimu na hata kitimoto ( nguruwe) ndio nyama Yao pendwa na kubatilisha uongo unaohubiriwa na eahubiri uchwara kuwa ulinuwa pombe su Kila kiti moto utakuga haraka, hutakuwa na maendeleo, hitayenda mema nk .lakini kinyume chake makabila wanaokunywa pombe na Kila kitimoto wanaishije umri mrefu na Wana maendeleo makubwa na wanatenda mema Sana na hao wanaojifanya kuwa pombe na kitimoto ni dhambi wanawazunguka kueaomba msaada
 
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Kwa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kunywa pombe sio kosa. Na kila sherehe ya Kikatoliki pombe ni sehemu ya kimiminika muhimu sana!
 
Sasa unalaumu gazeti la mwananchi wana kosa gani?

Kwann usishutumu hao wakatoliki ambao nao kwa imani yao ni sawa tu
 
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Para yako ya mwisho ndio umechemka. Pombe sio upagani. Yesu Kristu alitengeneza pombe nzuri sana kwenye Harusi ya Kana ukiwa ndio muujiza wake wa kwanza!

Mungu alimwambia Nuhu atengeneze Safina na aingiemo kwani anakwenda kuwaangamiza watenda dhambi. Nuhu pamoja na vitu vingine aliingia Safinani na pombe akawa anagonga mdogomdogo hadi maji yalipopungua akaenda kugongea nje. Akalaaniwa mtoto aliyemchungulia na sio Nuhu aliyekuwa amegonga mvinyo!

Niendelee?
 
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.

Kwani kuna shida?

Mbona ushangai sisi Kitimoto tunakula, baadhi ya wavaa makobasi hawatumii Kitimoto
IMG-20250101-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom