Nani aliyehariri Biblia na kuisambaza?Ukristo halisi uko ndani ya Yesu pekee yake. Mfuatilie Yesu kupitia Biblia takatifu ndio utaujua ukristo halisi, na sio kufuatilia hizi hadithi za haya madhehebu mbali mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliyehariri Biblia na kuisambaza?Ukristo halisi uko ndani ya Yesu pekee yake. Mfuatilie Yesu kupitia Biblia takatifu ndio utaujua ukristo halisi, na sio kufuatilia hizi hadithi za haya madhehebu mbali mbali.
Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?Hivi unajua nuhu alizaliwa na aliishi katika tamaduni za kibagani japokuwa alisikia sauti ya Mungu ikimwambia atengeneze Safina na akatii?
Hujaleta ushaidi wa mtu kufikishwa huko Mbinguni na SDSHaaa bwasheee, YESU ndio Njia ,Kweli na Uzima ,MTU haendi Kwa Baba Mungu bila kupita Kwa YESU.
Je wajua YESU ni MSABATO?.
KANISA LA kweli ambalo hata RC leaders wanajua ndio Kanisa la Kweli, ni SABATO -SDA.
We bwabwaja tu..kula chuma hicho!Wewe mzima kweli, unayoyaandika tu yanaashiria ulishaamua ku left group kwa hiari
Hata hivyo 66 unavyoita vya Mungu ni subset ya vitabu 72 ambavyo Luther alivichukua kama vilivyo kwa Wakatoliki.
Kwa ufupi (kama hujui), si kwamba Wakatoliki waliongeza vitabu, ila Luther alipunguza vitabu!
Vitabu ni vile vile, tofauti mgawanyo tu,wakatoliki ndiyo waliokusanya biblia, wengine wote mmetokea mbavuni mwaoHahahah Biblia ya Wakatoliki, Ina vitabu 72 😂😂 utasikia Sira, Sijui nani nani, vitabu vya kininadam vyenye Maneno yaloandikwa yoyote na WANADAM.
Biblia ya Mungu Ina vitabu 66 tu.
Kuna kitu kinaitwa Roho Mtakatifu, hiyo ndio dawa ya hiyo hali yote ya ugumu, shida na mateso ya ndani kwa ndani katika nafsi ya mtu inayotaabika kiasi cha kuhitaji kunywa pombe ili kujisikia fresh.Sasa ndugu yangu Mungu mwenye Rehema atashindwaje kuwa na huruma na kiumbe chake alichokiumba mwenyewe na kukipa mzigo wa utashi? Mawazo, shida, chuki na misuguano mingine ya kibinadamu inahitaji walau mara moja moja nati zilegezwe; nyinyi wenzetu naona bado mnaishi kwa misingi ya agano la kale ambapo Baba muumba ilibidi awe mkali sana maana kumstaarabisha binadamu kwa mazingira ya jangwani sio kazi ndogo
Ahaa, nilitaka ukiri hilo kuwa yeye Luther ndiye aliyepunguza vitabu kwa utashi wake (jambo ambalo si baya, ila ni vizuri ukiri hilo kuweka sawa kumbukumbu, maana pale mwanzo ulitaka ionekane kwamba Wakatoliki ndio walioongeza vitabu)Akaja kuhitimisha kua MAANDIKO PEKEE YA MUNGU NI VITABU VILEEEE 66 , NA KWA KUYAKATAA MAPOKEO YA RC, AKAAMUA KUJITENGA NA KANISA HILO.
Kumbe nje ya kanisaView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Mungu anamtumiaga shetani pia .Vitabu ni vile vile, tofauti mgawanyo tu,wakatoliki ndiyo waliokusanya biblia, wengine wote mmetokea mbavuni mwao
Tuwekee Andiko Takatifu linaloonesha kuna divai kinywaji na divai pombe. Halafu hayo maelezo yako bila kutuwekea andiko linalothibitisha yanabaki kuwa maneno matupu.Ukristo halisi na unywaji wa pombe wapi na wapi?
Yesu alibadilisha maji na kuwa divai (kinywaji) na sio divai (Pombe). Kwanini? Huwezi ukabadilisha maji yakawa pombe kwenye sherehe, halafu watu wote wakanywa mpaka kutosheka halafu hapo hapo tukio hilo limrudishie Mungu utukufu. Unywaji wowote wa pombe vya kutosha huzaa aibu, upotofu na utukufu wa shetani.
Ulimwon̈a?Yesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
Hakuna jipya. Imani yao inaruhusu. Wako wanaokula nguruwe. Wako wanaomkana Yesu sio MUNGU wako wanaosali Sabato jumamosi wako wanaonena kwa lugha na kuanguka mapepo,, nk nk. Hizo ni Imani na itikadi zaoView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Mungu anamtumiaga shetani pia .
Je wajua ni Wakatoliki haohao katika kipindi Cha ZAMA ZA GIZA walianzisha kampeni ya kuifutilia mbali Biblia na Wakristo wenyewe wale damudamu waloamua kufata Biblia inachosema na na sio MAPOKEO na mafundisho ya Wanadamu yalotokea Kwa viongozi wa RC?.
HATA HIVO , Waandishi wa Biblia wanajulikana walikua 40 tu.
Hivo vitabu vyenu vya Sira n.k ni MAPOKEO ya Akina YERICKO wa Mbowe.
Nimeuliza, hiyo Biblia Takatifu si ndio yenye vitabu vya Mathayo na Yohane?Ukristo halisi uko ndani ya Yesu pekee yake. Mfuatilie Yesu kupitia Biblia takatifu ndio utaujua ukristo halisi, na sio kufuatilia hizi hadithi za haya madhehebu mbali mbali.
Siongelei hiyo pombe ya kunywa mpaka kutambaa, naongelea pombe ya kunywa kishua; mvinyo glass moja ni sawa sawa na bia mbili, unaaga kijiwe unarudi nyumbani kuhudumia taasisi ya ndoaKuna kitu kinaitwa Roho Mtakatifu, hiyo ndio dawa ya hiyo hali yote ya ugumu, shida na mateso ya ndani kwa ndani katika nafsi ya mtu inayotaabika kiasi cha kuhitaji kunywa pombe ili kujisikia fresh.
Na Roho Mtakatifu amemwagwa kwa watu wote wanaomuhitaji katika agano jipya. Mpate Yesu halisi ndani ya moyo wako kisha muombe akujaze huyo Roho Mtakatifu, baada ya hspo pombe utakuja kuiona kama kinyesi kibichi chenye harufu mbaya.
Nini maana ya kuokoka?wale hawajaokoka, habari za wokovu wako mbali nazo, dhambi zimewajaa, kunywa pombe kwao ni kawaida na dhamiri zao haziwashitaki kuwa wanatenda dhambi kwa ulevi
Narudia kusema , Biblia ya Mungu iliandikwa na Waandishi 40, wakafanya jumla ya vitabu 66.Ahaa, nilitaka ukiri hilo kuwa yeye Luther ndiye aliyepunguza vitabu kwa utashi wake (jambo ambalo si baya, ila ni vizuri ukiri hilo kuweka sawa kumbukumbu, maana pale mwanzo ulitaka ionekane kwamba Wakatoliki ndio walioongeza vitabu)
Kanisa Katoliki linafundisha watu kuwa wema,wapenda maendeleo mambo ya pombe ni mambo ya kuelekezana tu pombe sio dhambi ulevi ni mzizi wa dhambi ndani ya kanisa na limeandikwa kwenye vitabu vya kufundishia ndani ya kanisaMathayo 11:18-19
18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo
19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.