Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Haaa bwasheee, YESU ndio Njia ,Kweli na Uzima ,MTU haendi Kwa Baba Mungu bila kupita Kwa YESU.

Je wajua YESU ni MSABATO?.

KANISA LA kweli ambalo hata RC leaders wanajua ndio Kanisa la Kweli, ni SABATO -SDA.
Hujaleta ushaidi wa mtu kufikishwa huko Mbinguni na SDS
 
Attachments

  • FB_IMG_1733849512712.jpg
    FB_IMG_1733849512712.jpg
    46.2 KB · Views: 1
Hata hivyo 66 unavyoita vya Mungu ni subset ya vitabu 72 ambavyo Luther alivichukua kama vilivyo kwa Wakatoliki.
Kwa ufupi (kama hujui), si kwamba Wakatoliki waliongeza vitabu, ila Luther alipunguza vitabu!

Luther hakuwahi kua Mwandishi, BIBLIA ,kama neno la Mungu na ambalo ni Mungu mwenyewe, iliandikwa na Waandishi 40 katika vipindi tofauti tofauti.
Hata Ivo kutokuwepo Kwa teknolojia , Waandishi hao waliandila kwenye magome, vipande vya nguo, Ngozi n.k.

Hiyo ikatupeleke mpaka mwaka 1611, Kwa Amri ya Mfalme James kwanza, kua MAANDIKO hayo matakatifu yaprintiwe Upya .

Ndipo Biblia ikatafasiriwa kutoka Lugha za Waandishi na kuletwa Kwa Lugha ya Kingereza ( ambacho ndicho kiingereza Asilia ,achana na hiki Cha Sasa ) na Kisha maandiko haya matakatifu yanaprintiwa mwaka 1611 kusanyiko hili JIPYA la maandiko matakatifu Kwa Lugha ya Kiingereza likaitwa KING JAMES !!.

Luther ? Luther hakuwahi kuandika Maandiko, In fact Luther baada ya kusoma sana maandiko, akaja Kusoma na hayo mavitabu ya kimapokeo yaloandikwa na Roman Catholic wenyewe.

Akaja kuhitimisha kua MAANDIKO PEKEE YA MUNGU NI VITABU VILEEEE 66 , NA KWA KUYAKATAA MAPOKEO YA RC, AKAAMUA KUJITENGA NA KANISA HILO.
 
Hahahah Biblia ya Wakatoliki, Ina vitabu 72 😂😂 utasikia Sira, Sijui nani nani, vitabu vya kininadam vyenye Maneno yaloandikwa yoyote na WANADAM.

Biblia ya Mungu Ina vitabu 66 tu.
Vitabu ni vile vile, tofauti mgawanyo tu,wakatoliki ndiyo waliokusanya biblia, wengine wote mmetokea mbavuni mwao
 
Sasa ndugu yangu Mungu mwenye Rehema atashindwaje kuwa na huruma na kiumbe chake alichokiumba mwenyewe na kukipa mzigo wa utashi? Mawazo, shida, chuki na misuguano mingine ya kibinadamu inahitaji walau mara moja moja nati zilegezwe; nyinyi wenzetu naona bado mnaishi kwa misingi ya agano la kale ambapo Baba muumba ilibidi awe mkali sana maana kumstaarabisha binadamu kwa mazingira ya jangwani sio kazi ndogo
Kuna kitu kinaitwa Roho Mtakatifu, hiyo ndio dawa ya hiyo hali yote ya ugumu, shida na mateso ya ndani kwa ndani katika nafsi ya mtu inayotaabika kiasi cha kuhitaji kunywa pombe ili kujisikia fresh.

Na Roho Mtakatifu amemwagwa kwa watu wote wanaomuhitaji katika agano jipya. Mpate Yesu halisi ndani ya moyo wako kisha muombe akujaze huyo Roho Mtakatifu, baada ya hspo pombe utakuja kuiona kama kinyesi kibichi chenye harufu mbaya.
 
Akaja kuhitimisha kua MAANDIKO PEKEE YA MUNGU NI VITABU VILEEEE 66 , NA KWA KUYAKATAA MAPOKEO YA RC, AKAAMUA KUJITENGA NA KANISA HILO.
Ahaa, nilitaka ukiri hilo kuwa yeye Luther ndiye aliyepunguza vitabu kwa utashi wake (jambo ambalo si baya, ila ni vizuri ukiri hilo kuweka sawa kumbukumbu, maana pale mwanzo ulitaka ionekane kwamba Wakatoliki ndio walioongeza vitabu)
 
Vitabu ni vile vile, tofauti mgawanyo tu,wakatoliki ndiyo waliokusanya biblia, wengine wote mmetokea mbavuni mwao
Mungu anamtumiaga shetani pia .

Je wajua ni Wakatoliki haohao katika kipindi Cha ZAMA ZA GIZA walianzisha kampeni ya kuifutilia mbali Biblia na Wakristo wenyewe wale damudamu waloamua kufata Biblia inachosema na na sio MAPOKEO na mafundisho ya Wanadamu yalotokea Kwa viongozi wa RC?.

HATA HIVO , Waandishi wa Biblia wanajulikana walikua 40 tu.

Hivo vitabu vyenu vya Sira n.k ni MAPOKEO ya Akina YERICKO wa Mbowe.
 
Ukristo halisi na unywaji wa pombe wapi na wapi?
Yesu alibadilisha maji na kuwa divai (kinywaji) na sio divai (Pombe). Kwanini? Huwezi ukabadilisha maji yakawa pombe kwenye sherehe, halafu watu wote wakanywa mpaka kutosheka halafu hapo hapo tukio hilo limrudishie Mungu utukufu. Unywaji wowote wa pombe vya kutosha huzaa aibu, upotofu na utukufu wa shetani.
Tuwekee Andiko Takatifu linaloonesha kuna divai kinywaji na divai pombe. Halafu hayo maelezo yako bila kutuwekea andiko linalothibitisha yanabaki kuwa maneno matupu.

Andiko la Yohane lipo wazi - Yesu aligeuza maji kuwa divai. Siyo tu divai, bali divai njema ambayo kwa tamaduni za Wayahudi ilipaswa kuwalewesha ili ikiletwa divai iliyo dhaifu ambayo kwa kuwa wanakuwa wameshalewa, hawawezi kutofautisha.

Yohane 2:10
akamwambia, "Kila mtu kwanza huandaa divai iliyo njema; hata watu wakiisha kunywa sana ndipo huleta iliyo dhaifu; wewe umeiweka divai iliyo njema hata sasa.
 
View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hakuna jipya. Imani yao inaruhusu. Wako wanaokula nguruwe. Wako wanaomkana Yesu sio MUNGU wako wanaosali Sabato jumamosi wako wanaonena kwa lugha na kuanguka mapepo,, nk nk. Hizo ni Imani na itikadi zao
 
Mungu anamtumiaga shetani pia .

Je wajua ni Wakatoliki haohao katika kipindi Cha ZAMA ZA GIZA walianzisha kampeni ya kuifutilia mbali Biblia na Wakristo wenyewe wale damudamu waloamua kufata Biblia inachosema na na sio MAPOKEO na mafundisho ya Wanadamu yalotokea Kwa viongozi wa RC?.

HATA HIVO , Waandishi wa Biblia wanajulikana walikua 40 tu.

Hivo vitabu vyenu vya Sira n.k ni MAPOKEO ya Akina YERICKO wa Mbowe.
 
Ukristo halisi uko ndani ya Yesu pekee yake. Mfuatilie Yesu kupitia Biblia takatifu ndio utaujua ukristo halisi, na sio kufuatilia hizi hadithi za haya madhehebu mbali mbali.
Nimeuliza, hiyo Biblia Takatifu si ndio yenye vitabu vya Mathayo na Yohane?
 
Kuna kitu kinaitwa Roho Mtakatifu, hiyo ndio dawa ya hiyo hali yote ya ugumu, shida na mateso ya ndani kwa ndani katika nafsi ya mtu inayotaabika kiasi cha kuhitaji kunywa pombe ili kujisikia fresh.

Na Roho Mtakatifu amemwagwa kwa watu wote wanaomuhitaji katika agano jipya. Mpate Yesu halisi ndani ya moyo wako kisha muombe akujaze huyo Roho Mtakatifu, baada ya hspo pombe utakuja kuiona kama kinyesi kibichi chenye harufu mbaya.
Siongelei hiyo pombe ya kunywa mpaka kutambaa, naongelea pombe ya kunywa kishua; mvinyo glass moja ni sawa sawa na bia mbili, unaaga kijiwe unarudi nyumbani kuhudumia taasisi ya ndoa
 
Ahaa, nilitaka ukiri hilo kuwa yeye Luther ndiye aliyepunguza vitabu kwa utashi wake (jambo ambalo si baya, ila ni vizuri ukiri hilo kuweka sawa kumbukumbu, maana pale mwanzo ulitaka ionekane kwamba Wakatoliki ndio walioongeza vitabu)
Narudia kusema , Biblia ya Mungu iliandikwa na Waandishi 40, wakafanya jumla ya vitabu 66.

Wakati wa Utawala wa RUMI, katika kuwavutia Wa mataifa na Kanisa la Awali.

Rumi Kwa kutumia wasomi wao na wanahistoria, wakaongezea vitabu 6 ( hivi ni vitabu vya kimapokeo vilivyoandikwa na Rumi ). Kama ambavyo Sasa vitabu mbalimbali vinaandikwa.

Baada ya hapo, wakavitumia Vitabu hivi kuvichanganya na BIBLIA HALISI.

Ili Wanywa Pombe, wakisoma Kitabu Cha Sira walidhike kua Pombe ni Halali.

Na Wakristo wa kweli wakisoma wakorintho , walidhike pia kua Pombe ni haramu.

Huo ndo ujanja ujanja ulotumiwa na RC.

LUTHER , Kwa muda wake na Kusoma kiundan zaidiiii, AKASTUKAA, ALAAAAAA, KUMBE HAYA MAVITABU MANNE NI MAPOKEO YA TAWALA YA RUMI NASIO MANENO YA MUNGU.

Akaamua kujitoa Rasimi na kuanziasha vuguvugu liloamua kwenda na Vitabu 66 tu .
 
Mathayo 11:18-19
18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo
19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Kanisa Katoliki linafundisha watu kuwa wema,wapenda maendeleo mambo ya pombe ni mambo ya kuelekezana tu pombe sio dhambi ulevi ni mzizi wa dhambi ndani ya kanisa na limeandikwa kwenye vitabu vya kufundishia ndani ya kanisa
 
Back
Top Bottom