LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ni kuacha dhambi na kumuamini Yesu Kristo kama mwokozi wa maisha yako, kuishi maisha matakatifuNini maana ya kuokoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kuacha dhambi na kumuamini Yesu Kristo kama mwokozi wa maisha yako, kuishi maisha matakatifuNini maana ya kuokoka?
Mimi nimekwambia ukristo ni jambo binafsi kati ya mtu na ufuasi wake kumfuata Yesu kristo, na sio blah blah za mapokeo ya kanisa/dhehebu fulani. Kama kanisa katoliki linaruhusu unywaji wa gongo kwa waumini wake hatuwezi kusema huo ndio ukristo. Huo ni upagani tu ulioletwa kwa mwamvuli wa kanisa.Uko sahihi. Niambie sasa dini ambayo haina hayo uliyosema katika Kanisa Moja Katoliki la Mitume?
Endelea kuuumia na maneno meeengu, lakini Kanisa Moja Katoliki la Mitume limejengwa juu ya Mwamba yaani Petro.Mimi nimekwambia ukristo ni jambo binafsi kati ya mtu na ufuasi wake kumfuata Yesu kristo, na sio blah blah za mapokeo ya kanisa/dhehebu fulani. Kama kanisa katoliki linaruhusu unywaji wa gongo kwa waumini wake hatuwezi kusema huo ndio ukristo. Huo ni upagani tu ulioletwa kwa mwamvuli wa kanisa.
Yesu hana mapokeo, na imani ya kumfuata yeye haihitaji uwepo wa mapokeo.
😀😀😀Huko Pombe ni ruksa... usishangae
Katoliki ni Baba ya madhehebu yote unayoyajua wewe ya kikristo. Hizo Chuki zenu ni ukosefu wenu wa uelewa wa masuala mengi ya kiroho.Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.
Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Nakuuliza swali tafakari unijibu! kwann mkuu wa meza(vip) alipopewa kikombe alisema maneno ya kustaajabu na kufurahia ile aliyopewa na yesu manake ilikuwa na vibe kushinda ile ya mwanzo! afu yesu hakuagiza matunda akatengeneza pale pale bali aliagiza maji tuu! ko mi na wewe hatuna uhakika alitumia zao gani na lilikaa muda gani mpaka ikawa pombe nzuri kushinda ile ya awali harusini!Yesu hakutengeneza pombe kwakuwa divai ikitengenezwa papohapo haileweshi labda itunzwe kwa muda kidogo.(Ili fermentation itokee)
Na divai ikiwa tamu siyo kama ni kali inategemea na muda iliyohifadhiwa.
Search kitu kinaitwa "fermentation".
Kwa hiyo kwako ni halali na vyema kanisa katoliki kuwaandalia waumini wake tafrija ya kunywa gongo nje ya jengo, lakini sio halali kuwaandalia ndani ya jengo la kanisa?Mkuu!
Itizame video vizuri umeona mtu akinywa pombe ndani ya Kanisa?jengo kabisa la Kanisa watu wakinywa pombe ndiyo video inachoonyesha?hapo ni nje ya jengo la Kanisa sehemu ambayo kuna wakati zinafanyika pia shughuli za kijamii tatizo watu wasiojua waandika vitu vya hovyo.
soma biblia bila kufungwa na upande wwte yaan uwe huru ata kujikosoa! utailewa bible vzr sanaYesu hakutengeneza pombe kwakuwa divai ikitengenezwa papohapo haileweshi labda itunzwe kwa muda kidogo.(Ili fermentation itokee)
Na divai ikiwa tamu siyo kama ni kali inategemea na muda iliyohifadhiwa.
Search kitu kinaitwa "fermentation".
Unatania ama unamaanisha? 😁KANISA LA SDA SABATO, KANISA LA MUNGU .
Je Hujui kua Mungu ni Msabato?.
Petro hakuwa mnywa gongo.Endelea kuuumia na maneno meeengu, lakini Kanisa Moja Katoliki la Mitume limejengwa juu ya Mwamba yaani Petro.
Mada hapa ni tafrija ya kunywa gongo katika kanisa katoliki.Katoliki ni Baba ya madhehebu yote unayoyajua wewe ya kikristo. Hizo Chuki zenu ni ukosefu wenu wa uelewa wa masuala mengi ya kiroho.
Bro sorry,hatuendi mrengo mmoja mimi na wewe ni vizuri kukubaliana kutokubaliana.Kwa hiyo kwako ni halali na vyema kanisa katoliki kuwaandalia waumini wake tafrija ya kunywa gongo nje ya jengo, lakini sio halali kuwaandalia ndani ya jengo la kanisa?
Hahaha pole sanaaa hahahahaha.Kitabu cha Timotheo ni moja ya hivyo 66 mnavyodai ni halisi?
1 Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Mimi nimekosoa mtazamo wako kuwa, hapo waumini wa kikatoliki walipokuwa wakinywa 'gongo' sio ndani ya kanisa bali ni nje ya jengo la kanisa. So what?Bro sorry,hatuendi mrengo mmoja mimi na wewe ni vizuri kukubaliana kutokubaliana.
Unaona unavyo-sound?tutakuwa na mwisho mwema hapa?ulichoandika hapo umekitoa wapi kwenye habari jadiliwa hapa?usinikwaze tafadhali baki na unachokiamini mimi nibaki na ninachokiamini then wote tutajisikia amani.
Namaanisha, MUNGU, YESU, ROHO MTAKATIFU NI WASABATO .Unatania ama unamaanisha? 😁
Yohana 2:9Nakuuliza swali tafakari unijibu! kwann mkuu wa meza(vip) alipopewa kikombe alisema maneno ya kustaajabu na kufurahia ile aliyopewa na yesu manake ilikuwa na vibe kushinda ile ya mwanzo! afu yesu hakuagiza matunda akatengeneza pale pale bali aliagiza maji tuu! ko mi na wewe hatuna uhakika alitumia zao gani na lilikaa muda gani mpaka ikawa pombe nzuri kushinda ile ya awali harusini!