Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Uko sahihi. Niambie sasa dini ambayo haina hayo uliyosema katika Kanisa Moja Katoliki la Mitume?
Mimi nimekwambia ukristo ni jambo binafsi kati ya mtu na ufuasi wake kumfuata Yesu kristo, na sio blah blah za mapokeo ya kanisa/dhehebu fulani. Kama kanisa katoliki linaruhusu unywaji wa gongo kwa waumini wake hatuwezi kusema huo ndio ukristo. Huo ni upagani tu ulioletwa kwa mwamvuli wa kanisa.

Yesu hana mapokeo, na imani ya kumfuata yeye haihitaji uwepo wa mapokeo.
 
Endelea kuuumia na maneno meeengu, lakini Kanisa Moja Katoliki la Mitume limejengwa juu ya Mwamba yaani Petro.
 
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Katoliki ni Baba ya madhehebu yote unayoyajua wewe ya kikristo. Hizo Chuki zenu ni ukosefu wenu wa uelewa wa masuala mengi ya kiroho.
 
Yesu hakutengeneza pombe kwakuwa divai ikitengenezwa papohapo haileweshi labda itunzwe kwa muda kidogo.(Ili fermentation itokee)
Na divai ikiwa tamu siyo kama ni kali inategemea na muda iliyohifadhiwa.
Search kitu kinaitwa "fermentation".
Nakuuliza swali tafakari unijibu! kwann mkuu wa meza(vip) alipopewa kikombe alisema maneno ya kustaajabu na kufurahia ile aliyopewa na yesu manake ilikuwa na vibe kushinda ile ya mwanzo! afu yesu hakuagiza matunda akatengeneza pale pale bali aliagiza maji tuu! ko mi na wewe hatuna uhakika alitumia zao gani na lilikaa muda gani mpaka ikawa pombe nzuri kushinda ile ya awali harusini!
 
Mkuu!

Itizame video vizuri umeona mtu akinywa pombe ndani ya Kanisa?jengo kabisa la Kanisa watu wakinywa pombe ndiyo video inachoonyesha?hapo ni nje ya jengo la Kanisa sehemu ambayo kuna wakati zinafanyika pia shughuli za kijamii tatizo watu wasiojua waandika vitu vya hovyo.
Kwa hiyo kwako ni halali na vyema kanisa katoliki kuwaandalia waumini wake tafrija ya kunywa gongo nje ya jengo, lakini sio halali kuwaandalia ndani ya jengo la kanisa?
 
Yesu hakutengeneza pombe kwakuwa divai ikitengenezwa papohapo haileweshi labda itunzwe kwa muda kidogo.(Ili fermentation itokee)
Na divai ikiwa tamu siyo kama ni kali inategemea na muda iliyohifadhiwa.
Search kitu kinaitwa "fermentation".
soma biblia bila kufungwa na upande wwte yaan uwe huru ata kujikosoa! utailewa bible vzr sana
 
Kwa hiyo kwako ni halali na vyema kanisa katoliki kuwaandalia waumini wake tafrija ya kunywa gongo nje ya jengo, lakini sio halali kuwaandalia ndani ya jengo la kanisa?
Bro sorry,hatuendi mrengo mmoja mimi na wewe ni vizuri kukubaliana kutokubaliana.

Unaona unavyo-sound?tutakuwa na mwisho mwema hapa?ulichoandika hapo umekitoa wapi kwenye habari jadiliwa hapa?usinikwaze tafadhali baki na unachokiamini mimi nibaki na ninachokiamini then wote tutajisikia amani.
 
Kitabu cha Timotheo ni moja ya hivyo 66 mnavyodai ni halisi?

1 Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Hahaha pole sanaaa hahahahaha.

Mvinyo ulitumika kutibu Magonjwa , Vidonda n.k

Kutembea Kwa Mtume Paulo kueneza injili kutwa kucha, kulimuweka kwenye hatari ya kupata Magonjwa ya matumbo ,ikiwemo Madonda tumbo.

Hivo Ujumbe huo ulikusudia kua MTUME asiishie kunywa maji na kuhatarisha Afya yake bali Kwa nyakati nyingine atumie mvinyo kidogo tu kujihakikishia Usalama wa Tumbo lake.

Haya swali kwako..

Kwa akili yako unafikiria mvinyo uloandikwa hapa ni hizi pombe zenu mnazokunywa kwaajili ya Kustarehe, kutoa mawazo, na kuishiwa kufanya maamuzi yasokua na akili??.

Kwann Mwandishi anasema , Kwa ajili ya TUMBO LAKO NA MAGONJWA??.

NAAM, na kama ni Ivo, kwann Pombe mnazokunywa zinawapa magonjwa ya INI, MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME, MAGONJWA YA FIGO , KISUKARI, MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU, MAGONJWA YA KUPOTEZA KUMBUKUMBU N .K ??.
 
Bro sorry,hatuendi mrengo mmoja mimi na wewe ni vizuri kukubaliana kutokubaliana.

Unaona unavyo-sound?tutakuwa na mwisho mwema hapa?ulichoandika hapo umekitoa wapi kwenye habari jadiliwa hapa?usinikwaze tafadhali baki na unachokiamini mimi nibaki na ninachokiamini then wote tutajisikia amani.
Mimi nimekosoa mtazamo wako kuwa, hapo waumini wa kikatoliki walipokuwa wakinywa 'gongo' sio ndani ya kanisa bali ni nje ya jengo la kanisa. So what?
Yaani unataka kusema, gongo inywewe nje ya nje ya jengo lakini sio ndani ya jengo. Logic ni ipi?
 
Nakuuliza swali tafakari unijibu! kwann mkuu wa meza(vip) alipopewa kikombe alisema maneno ya kustaajabu na kufurahia ile aliyopewa na yesu manake ilikuwa na vibe kushinda ile ya mwanzo! afu yesu hakuagiza matunda akatengeneza pale pale bali aliagiza maji tuu! ko mi na wewe hatuna uhakika alitumia zao gani na lilikaa muda gani mpaka ikawa pombe nzuri kushinda ile ya awali harusini!
Yohana 2:9
[9]Naye mkuu wa meza alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa meza alimwita bwana arusi,
Mkuu ukisoma kifungu hapo juu inasema ya kuwa yule bwana alionja na sio kunywa sidhani kama ukionja divai unaweza kutambua kama ni kali au la.
Na pia huyo alikuwa katika hali ya ulevi pengine alipagawishwa na ladha ya divai aliyoinja ndo akaonesha hilo vibe.
tofautisha kati ya kunywa na kuonja ukali wa divai hautambuliwi kwa kuonja tu.
 
Back
Top Bottom