MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Haifai hiyoSisi tutaendelea kukuandama ilimradi Mtoto wetu upo naye
Haifai hiyo
Mkuu nimeshavuka hiyo hatua ya kutishwa na maneno kama hayo yako. Mimi kwa sasa ni mtu huru.Mleta mada jifunze kuwa na akiba ya maneno
Sio kweliIla inauma, binti yupo kwako anakula vizuri na wazazi wake wamelala njaa. Kwa kuwa umeamua kumchukuwa binti inabidi uwahudumie na wazazi wake. Ungejua wakati wa uchumba ungesepa, umeyataka mwenyewe.