Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

Wewe una roho mbaya! Ulitaka hadi ribaπŸ˜‚πŸ™Œ
Nilifikiria riba baada ya kuona mtu kama vile anataka kuanza kuniletea masihara. Yani nikupe tu hela yangu tena umesema nikukopeshe halafu uanze kuzingua kunirudishia?

Heri mtu aniambie nimsadie nijue nimetoa sadaka kuliko kusema umkopeshe alafu aanze kuzingua.
 
W
Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema
Wewe ndo TUTUSA, unamuulizaje mwanamke swali kama hili? Ni wazi kuwa huna maamuzi ya kiume na hujui kusoma alama za nyakati.
Mwanamke huwa anacheza beat ya mwanaume, wewe kuuliza ili UJUZWE inamaanisha utacheza beat lake.
Hopeless!
 
Ni vile tu hakua muwazi au wewe uliweka ngumu hukutaka kumuelewa.

Huyo anauza samaki wa baharini(papa).
Pamoja na hayo yote bado mwamba hutaki kuelewa bibie anataka nini.

Kilichotakiwa kufanywa ile baada ya msosi ni kukodi room, uzagamue umlipe asepe na mambo yanaishia hapo.

Wanawake wengi mjini wanajiuza kwa namna nyingi hiyo ikiwemo.
Maisha town ni ghali, mambi ni mengi lazima ajiongeze.
 
Ras jeff kapita katufungia mjadalaa..

Yana chefua na yanapata maradhi kwa tamaa za muda mfupi..

Holy shit!!
 
Wanakuwaje na akili wakati wanaume zao mnaopaswa kuwasimamia, kuwaongoza na mnaoshirikiana nao kwenye maongezi na mengineyo hamna akili?
Mnaposhinda kuwashambulia wanawake kwa kushindwa katika lolote ujue pia mnaongelea kushindwa kwenu.
Ni kama mpumbavu mmoja yupo humu jukwaani aliyeendekeza fantasy zake, akamshawishi demu wake kuwa anatamani threesome, baada ya kufanikiwa kumshawishi ,demu akakubali, alipokubaliwa jamaa akaenda kutafuta demu mwingine wakaenda kupiga 3some.
Kilichofuata wale madem wakaulewa mchezo, wakanogewa wakammwaga yule jamaa wakaanza kusagana. Jamaa kajitahidi kupambana kumrudisha mpenzi wake kaambulia patupu, mpaka leo anatukana na kulaani tu wanawke, hata akiingia humu yeye ni kuwapondea tu.
Ukumsoma malalamiko na hoja zake huwa unamuona ana sound so genuine lakini moyoni ana mengine kabisa, ni majeruhi wa fantasy zake.
Kuharibikiwa kwa wanawake chanzo chake ni ku fail kwa wanaume. Siku wanaume wakija kurudiwa na akili wanawake watarudi kwenye mstari wenyewe.
 
Wazee wa Jf ngoja tunyamaze tupite kimya KIMYA 😊
 
Unipe nauli ya Uber" nlimtizama.nikamwona hana akili. Yaani safari zake,nimempa chakula na anataka nimlipie na Uber.sikumwita aje? Huyu si ni Tutusa aliyefaulu kwa kiwango cha juu?
Ila nimecheka kwenye hii paragraph πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Shida ya wanawake siku hizi hawajui kusema no hata kama yuko na mtu wake serious ambae yeye haombwi hata mia ila sasa akimpata mwanaume ambae anahisi huyu kwenye vizinga vya haraka haraka hakosi kunisave basi lazima aruke nae na kibaya zaidi wewe ndio ulianza kuonesha interest kwake Kwahiyo moja kwa moja hii inaonesha hayupo interested na wewe na wala haofii kukupoteza so vyovyote itakavyokua ni sawa tu kwake.

Hilo ni jimbo la mtu mkuu so wewe kaa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…