Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.
Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya simu. Tukaanza mawasiliano day one tunaongea n.k akanidokeza huwa yeye havai chupi.so anavaa tu suruali ya jeans bil chupi.
Nikashtuka kidogo.anyway nikasema labda usasa. Ingawa nlikuwa nawaza kipapa chake si kitakuwa kimesuguliwa sana na jeans? Anyway...apishie mbali.
Kesho yake akanitumia msg. Ana shida ya tsh 50,000. Nikamchana tu kuwa ninayo but sitampa. Mapema hivi? Nikamwambia kama ana taka tuwe serious aje na mawazo ya maana ya nini tufanye ajiongezee kipato.maana she is working na anaishi alone.akasema sawa.
Siku mbili tatu akanipigia simu.kuniuliza nipo wapi. Nikamwambia nipo home napumzika. Akanijibu kuwa anafika sehemu x kuna issue zake anafuatilia kama sitojali nimwone hapo.
Nikarukia jeans na tshirt na sandals.nikawasha kimeo changu mpaka eneo husika. Akanisubirisha maana alienda mwona mtu kama dk 10 akaja nlipo. Akapanda garini.
Basi nikamwuliza tunakaa wapi tuongee.akaniambia hajala so tuelekee sehemu moja kms kama 12 from there.nika mwambia haina haja hapo karibu kuna restaurant classic nampeleka akapate msosi. Kama hatopenda chakula aache nitampeleka popote pale Dsm na kumlipa fidia ya kuchelewa kula.
Nikampeleka hapo hapo ni walking distance sema kwa kuwa nina kakimeo tuka drive. Akafika akala aka enjoy zilinitoka 22,000 za haraka haraka.siku mind siyo issue kwa marafiki.
Amemaliza kula akaniambia sasa anaweza enda kwake. Aka request uber.tukaja garini tunasubiri huku tunapiga stories.wa uber akaja.akamwambia.asubiri asiwe na mchecheto. Kama dk 40 hivi. Ananiambia sasa naondoka.
Nikamwambia sawa. Naona hashuki garini.akaaga tena.nikamwambia sawa amwahi Uber wake.ndo ananiambia.
"Unipe nauli ya Uber" nlimtizama.nikamwona hana akili. Yaani safari zake,nimempa chakula na anataka nimlipie na Uber.sikumwita aje? Huyu si ni Tutusa aliyefaulu kwa kiwango cha juu?
Nlimwambia tu SIKUPI. akadhani natania. Nikarudia kuwa sikupi shuka please. Akashuka akaondoka. Kesho yake nikamuuliza. Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema. AkajiBu IDK. Nikanyamaza.
After 5 days akanipigia.akanisalimia.nikamjibu very normal.akaaga. a minute akatuma msg
" Baby nimefiwa na mjomba wangu natakiwa kesho kwenda msibani"
Sikumjibu mpaka leo. Nli mblock maana niliona hana akili. Na amesoma ana Degree from IFM. hawa wanawake wa sasa ni Toleo lipi?mbona hawana akili?