Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

Alitegemea ungesamehe. Na hapo atakuwa amekusema " MWANAUME HUWA HADAI PESA AKIKOPESHA MWANAMKE" MI huwa nawaambia OK basi tufanye mi siyo mwanaume basi nilipe. Maana hainipunguzii chochote yeye kutoniona mimi si mwanaume kwa kuwa nadai changu.
 
Mabint hawa ni vipengele oohh utashangaa.. mimi kiukwel sijawah kuwataman kabisaa.. namuogopa sana sana msichana/mwanamke mjinga .. ila huyu aliye elezwa hapa hatar zaid. Yuko beyond uozo. Huy hata karibu yake sikai
Mimi ndio huwaga Siwa interteining kabisa Wala shobo sitaki maana wahenga wanasemaga beauty without Brain 🧠 private part ndio zita suffer
 
Mimi nadai pia kwaio unanishaur nikadai vyangu..

Tatizo Mimi si kwa mwanaume au wakike sijuagi kudai nikikopeshaa 😊😊
Mpaka currently nimeacha kukopesha nikikopeshaa ni kiwango ambacho hata hakiniumizi kichwa
 
Wadada wanaongoza kwa kujiuza ni hao wasomii ndiyo wamejaa wavuvi wanaliwa kwa dollar kazi za kulipwa laki 8 o million hawati hata kuzisikia akati Ana uwezo wa kuingiza hiyo hela kwa wiki Basi hapo vinavyoteseka viungo vya mwili
 
Mimi nadai pia kwaio unanishaur nikadai vyangu..

Tatizo Mimi si kwa mwanaume au wakike sijuagi kudai nikikopeshaa 😊😊
Mpaka currently nimeacha kukopesha nikikopeshaa ni kiwango ambacho hata hakiniumizi kichwa
Usipokuwa nunda achana na kukopesha. Ikitokea upo tayari kutoa hela yako itoe iwe tu kama sadaka.

Ukidai kilelemama hutakaa ulipwe. Nakupa njia nzuri ya kudai mkopo kama ni hela ndefu.

Nenda kwa mdaiwa wako ingia kwake kaa kama yupo sebuleni na wewe kaa, mda wa msosi ukifika akila na wewe nenda mezani, akiingia kuoga kaa mlango wa bafu, akiingia kulala kaa mlango wa chumbani, akimaka ratiba ni kukaa nae wala usiongee kitu akitoka mfuate tu popote usimsemeshe kitu.

Bro nakuhakikishia unaweza kuteseka siku moja au mbili ila lazima akulipe hiyo hela hata ndani ya hizo siku hata kama alikuzungusha miaka 10 🤣
 
Kwa sisi wasukuma kipimo cha kwanza mwanamke ajue kusonga ugali..
 
Ni Huyo tu bro....ulikutana Na muuzaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…