Baba adaiwa kumuua, kumzika mtoto wake wa miaka 5 porini

Baba adaiwa kumuua, kumzika mtoto wake wa miaka 5 porini

Kweli umri unaenda miaka kadhaa nyuma nilikua nalalamika matangazo ya kutaka waume yamezidi kututenga watu wa 20+ leo hii nasoma umri wa jamaa ndiyo nakumbuka huo ni umri wangu na ninagundua siwezi ua mwanangu kisa siwezi kumlea na ninagundua jamaa ametoa sababu ya kingese.
 
Back
Top Bottom