Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

Usiwe na akili za kimaskini namna hii! Hivi wewe unaweza kabisa kutoa mtoto wako umpe mtu mwingine kwa sababu tu yeye ana uwezo? Mama alikuwa sahihi kabisa. Hilo li-baba limeweka njaa mbele.
We huujui umaskini laiti ungejua usingeandika haya
 
Mmh mimi hii issue inaogopesha hususan siku hizi watu wanafanya biashara za kuuza viungo vya binadamu hapana kwa kweli.Unaskia baada ya muda ooh mtoto alipata tatizo bahati mbaya akafa.Hapana kwakweli
 
Amrudishe bongo awe taila kama Moto mingine alafu limchchinje mama yake
 
Mmh mimi hii issue inaogopesha hususan siku hizi watu wanafanya biashara za kuuza viungo vya binadamu hapana kwa kweli.Unaskia baada ya muda ooh mtoto alipata tatizo bahati mbaya akafa.Hapana kwakweli
Hakuna kama kapitia mchakato yote kama viungo si wanateka tu
 
Siyo wameenda kumchomoa Figo huyo!?
 
Kwa maelezo ya wazazi ni wazi polisi na uhamiaji wamekula pesa ndefu kuruhusu mtoto kusafirishwa, hii ni aibu kubwa sana kwa hivi vyombo vyeti tuombe huyo dada asiwe na nia mbaya na huyo dogo.
 
Kumbe anatakiwa amshinikize nani kutoa huduma?

Huwa mnafikiria nini mnapowajaza wanawake mimba?

Baba sio kupandikiza mbegu, ni pamoja na malezi ya hali na mali kwa mtoto.
Wewe ulikubali vipi kupandikizwa mbegu na mwanaume asiye na hela?

Ulitegemea "malezi ya hali na mali" nayatoa wapi mimi kapuku?

Baba hataki kumrisisha mwanae dhiki.
 
Wasubiri dogo akue kisha wamuulize unataka kwenda Ilemela au ubaki Ottawa City?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…