Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

Huyu mama azae mwingine mtoto kashaula anataka arudi akarithi biashara ya vitumbua makoroboi au bakora za migambo zinamchanganya akili kuna uchungu ndio ila kwa nilivyosoma hapa mtoto yupo mazingira salama
 
Ila fikiria na hisia upweke kwa mama
 
Heading yako na maelezo uliyoyatoa Yana ukakasi,. Kwa sisi tuliyosomea Cuba ,huyo baba hajauza mtoto na wakati mtoto anaondoka huyo mwanamke alishilikishwa isipokuwa upo uwezekano huyo baba kuna pesa aliachiwa na spounsa na huyo mwanamke hajaziona na hajapewa kabadir GIA angan....

Ni mtazamo lakini
 
Mama mwache mtoto atapata maisha mazuri Canada na atakuja kukutunza.


Huyo Mhindi kamlea huyo mtoto kuanzia mdogo na hakukunyima haki za mwanazo zozote, ni kwa kuwa labda hana mtoto, sasa unadaanganywa na wanaokuzunguka, hawakutakii mema wewe na mwanao hao.
 
Mama anamkosesha mtoto fursa.
Utakuta huyo mama kajazwa maneno na watu wasiyomtakia mema. Ni mtoto mkubwa na kishazoweana na huyo mama wa kihindi.


Wahindi wanamlea na wanampa firsa kama mtoto wapo. Mama asiwe na wasiwasi.

Yeye ahakikishe anazo contacts na anawasiliana na huyo mama na mwanawwe mara kwa mara.
 
Na uzuri ni kwamba hawajamchukua kwa siri. Ngoja amrudishe halafu ashindwe kumsomesha vizuri mwisho wa siku mtoto maisha yampige lazima aje kumlaumu mama yake.
 
Kumbe shida ilianzia kwenye Usingle Mother.

Jamani vumilianeni kwenye Ndoa mambo ya kuachana yana madhara makubwa kwa watoto na wazazi wenyewe.

Haya sasa.

Baba alitaka urahisi wa kulelewa mtoto.

Mnapoto.....bana mkumbuke na kule pia.
 
Ukiisoma hii stori kuna mitazamo miwili kuna upande unaweza kuwalaumu wazazi kwa kuwa uzembe wao ndio umechangia, lakini upande mwingine sidhani kama mtoto kachukuliwa kwa nia mbaya kwa kuwa inaonesha hao Wahindi wameishi naye muda mrefu, hivyo wanamjua vizuri.
 
Ni wasi wasi tu😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…