Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
2,230
Reaction score
8,337
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

View attachment 3379922
Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibla bila shuruti.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

View attachment 3379922
Hapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrong
 
M

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake ya kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi alizorithi kutoka kwa baba zake na babu zake

View attachment 3379922
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.

Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe

Mzee yupo sahihi kabisa.

min -me
secretarybird
Monetary doctor
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

View attachment 3379922
Pia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.
 
Hapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrong

halafu eneo lenyewe lina thamani Kariakoo,, mzee ana watoto kibao alipaswa auze nyumba hiyo ya kariakoo kwa bilioni kazaaa kisha kila mtoto wake angemjengea nyumba moja nje ya mji ama apewe mtaji wake akajitafute,
 
Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibra bila dhuruti.
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.

Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.

NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
 
Ulitumwa kuwazaa kama sio ujinga ,katika uislamu urithi ni lazima hata kama uliwafukuza na kuwakataa watoto wako ..Ngoja ufe utajua .🤣
 
Pia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.
Ni kweli unless mzee amewapa tayari mali nyingine zenye thamani kubwa kuliko hiyo au inafanana na hiyo
Mfano mzee wangu alikuwa na eneo kubwa hapa dar es salaam , sisi watoto tumekata baadhi ya eneo tukatoa sadaka ijengwe msikiti na madrassa kama sadaka ,ila eneo kubwa tumebaki nalo hadi leo
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

View attachment 3379922

I hope historia/matendo yake huko mbinguni ipo clean, otherwise unatoa na unadumbukia kwingine. First, historia/matendo yake yameandikwa yako njema. Pia unapotoa huku mnalaumiana haina si poa.
 
Soma uislamu sio kukurupuka hata afanyaje watoto watapata urithi na waqfi unakuwa kama third party ..Katika uislamu urithi ni lazima ,kama yuko hai hamna urithi siku akifa watapata acha tu aropoke hapo.

watoto uwape urithi Mbande au chanika halafu Kariakoo ndio utoe sadaka, why wakfu huo usiutoe huko ambapo ardhi yake haina thamani kubwa?
 
Back
Top Bottom