Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Ukisikiliza vizuri video dakika ya 4 (4.00 to 4:50), Mtoto anasema Mzee wao ana maeneo mengine kwa ajili ya kuwarithisha watoto wake.
Mzee ana maeneo mengine mashamba mtwara.

Sasa ni sahihi kutoa wakfu kariakoo halafu watoto wakarithi mtwara?
 
Mpaka ukiona hivyo ujuwe kuna shida kati ya mzee na watoto
Kikubwa mzee kaitoa akiwa na akili zake timamu
Nnavyowajuwa watoto wa kko,kino,magomeni,ilala kwa kusikilizia mali ya urithi sahv ni maumivu tu

Ova
Umesema kweli Kuna watoto wanasikilizia mali za urithi then wafanye anasa na matanuziiii hio ni mbaya Zaidiii

So unakuta mzee ka smell rats akaona Hawa watoto nikiondoka watamalizana so ka amua kumaliza ugomviii
 
Ujinga na KOBAZ havijawahi tengana ni moja ya kolabo murua kabisa hapa duniani
 
Aidha wamempagawisha na majini maana ndio zao.
 
Kiislam ukiwa na warithi,

Huruhusiwi kugawa nje ya warithi mali inayozidi 1/3.
 
Back
Top Bottom