Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Dini ni utaperi mkubwa sana, watu weusi wenye akili ndogo ndo wanafanya hivyo.
 
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.

Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.

NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.

Hizo ndo akili za wamatumbi kila kizazi kinaanza mwanzo. MO, GSM, ASAS wangekuwa na akili kama zenu nao wangeishia kuuza nguo na viatu kwenye frames tu. Huwezi kufikia utajiri wao in one generation. Endeleeni na akili hizo hizo.
 
Familia nyingi zimerithi eneo kariakoo, na zimetajirika kupitia ardhi ya kariakoo.

Huyu shehe mbinafsi, anagawa kwa msikiti ili akapate mabikra 72 peponi
 
Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡

Kugombea mali ni ujinga. Kutoachia wanao urithi ni ujinga zaidi. Wenzenu wana life insurance mzazi anafariki leo kesho madogo wanapata mzigo, msibani wanalia huku wanacheka. Kina Mo, ASAS, GSM wameanza na vya kurithi nyie kila generation inaanza upya afu bado mnatafuta mchawi nani. Miafrika mna safari ndefu.
 
Nimecheka vijana wa sasa hawataki shida wanapenda kubeti vitu simple mzee ana akili kuna watoto ukiwaachia mali ujue ni tatizo
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.

Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.

NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
 
Hizo ndo akili za wamatumbi kila kizazi kinaanza mwanzo. MO, GSM, ASAS wangekuwa na akili kama zenu nao wangeishia kuuza nguo na viatu kwenye frames tu. Huwezi kufikia utajiri wao in one generation. Endeleeni na akili hizo hizo.
Unadhani mzee angeona watoto wake ni potential angefanya kugawa bureee kwa msikiti??

Kuna watoto wajaa LAANA unakuta wamewezeshwa / wamebebwa hawabebeki yaan ni gunia la MISUMARIIIII

Huwezi fananisha familia zenye misingi nyoofuu na wenye ELIMU NZURII ,MALEZI MAZURI, EXPOSURE, WEATH NA MAADILI MEMA

Mzee kaona ni Bora atoe wakfu eneo hilo YASITOKEE YA MSONDO NGOMA

MSONDO NGOMA _TUNATOANA ROHO YARABII KWA MALI ALIZO ACHA BABA FOR SURE MZEE KESHA FANYA RESEARCH KAONA NI BORA KUTOA KWA MSIKITI KULIKO KUWA ACHIA MALI MATOTO MAJINGA MAJINGA NA MASHENZIII
 
Kwenye uislamu haifai kutoa mali yako yote wakfu na kuwaacha warithi wako bila kitu, na ndio maana hata wasia haupaswi kuzidi theluthi ya mali ya mtu, kama ndio mali yake ya pekee basi amekosea na huo wakfu sio sahihi.
 
Ukiwa mfia dini ni lazima uwe na matatizo ya akili

Dini huwa inatabia moja, huwa ina brainwash muhusika haswa akizingatia sana

Ina brainwash mtu na kuondoa logic reasoning mpaka anakuwa mjinga au anapoteza uwezo wa kuwaza na kutafakari

hayo maneno mawili yanaenda kwa pamoja

Si ndio ushangae ukafaidishe mashekhe na familia zao watoto wako na wajukuu zako wapo hohehahe kisa unaamin sijui utaenda pepon halaf kwa umri huo huyo mzee akili sio zake bana

Ujinga wa kiimani.

Dini did numbers on miafrika.

Kwani Dini yake huyo mzee inasemaje kuhusu hilo? Mnajua Dini yake inasema nini kuhusu hilo? Ni Dini yake ndio inamtaka hivyo au yeye ndio kajifanyia tu?
 
Dini ni utaperi mkubwa sana, watu weusi wenye akili ndogo ndo wanafanya hivyo.

Dini yake huyo Mzee inasemaje kuhusu hilo? Wewe mwenye akili kubwa umefuatilia kama Dini yake inaruhusu alichokifanya ama la? Kama hujafuatilia mbona ume comment hivyo, kana kwamba alichokifanya kimeamrishwa na Dini yake?!

Au ndio kufuata mkumbo tu wa wanaotukana Dini mitandaoni
 
Umemezeshwa ujinga na waarabu mpaka unawakana watoto wako ili umzawadie mwaarabu mali zako zote
 
Kwenye uislamu haifai kutoa mali yako yote wakfu na kuwaacha warithi wako bila kitu, na ndio maana hata wasia haupaswi kuzidi theluthi ya mali ya mtu, kama ndio mali yake ya pekee basi amekosea na huo wakfu sio sahihi.

Kiukweli mimi nashangaa hawa wanaoitukana Dini (Uislam) kwa sababu ya hili. Uislam ni Dini yenye utaratibu katika kila kitu kwenye maisha.
 
Umemezeshwa ujinga na waarabu mpaka unawakana watoto wako ili umzawadie mwaarabu mali zako zote

Kwani Dini (Uislam) inasemaje kuhusu hilo?

Au unafikiri katika Uislam watu wanatakiwa kujifanyia tu mambo? Hujui hii Dini ina Muongozo kamili wa maisha?

Uelewe kwanza ndio u comment.

Au nawe unafuata mkumbo?
 
Ndio shida ya kuwa mfia dini unakuwa huna utofauti na taahira
 
Back
Top Bottom