Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Una shida mahali? Kama ndiyo kua specific shida ni ipi ili nione kama naweza kusaidia.
Huwezi kunisaidia. Mtu anaweza kukuuliza swali kutaka kufahamu au kujua uelewa wako. Unasema Mtu anatakiwa ágawe mali akiwa hai, nimekuuliza 'anatakiwa' na nani
 
urithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake

pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Sasa mm na ww tuna uhakika gani, Kama hao watoto wanaolalamika mzee hakuwarithisha Mali nyingine??? Fikiria Wenda mzee hakuwa na nyumba moja au Mali hiyo tu. Labda tamaa zao za kutoridhika ndizo zinawasumbua
 
Video zipo nyingi. Jamiiforums ina limit ya MBs katika ku upload video.

Pia ukiitazama hiyo nyumba ya kuishi tu ya huyo mzee, utapata picha hali yake ya kiuchumi ikoje..

Hiyo nyumba ya mzee ya kariakoo ndio mali yake ya thamani kubwa kuliko zote.. maeneo mengine anayo kijijini kwao huko mtwara.

ni ujinga watoto wapewe maeneo yasiyo na thamani halafu msikiti upewe eneo lenye thamani kubwa.
 
imagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
Si ndio ushangae ukafaidishe mashekhe na familia zao watoto wako na wajukuu zako wapo hohehahe kisa unaamin sijui utaenda pepon
 
imagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
Si ndio ushangae ukafaidishe mashekhe na familia zao watoto wako na wajukuu zako wapo hohehahe kisa unaamin sijui utaenda pepon halaf kwa umri huo huyo mzee akili sio zake bana
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Inawezekana mzee amezaa ndezi sasa anaona ataacha vita kwenye familia. Mzee anaitaka mbingu ndiyo maana katoa kwa msikiti! Halafu mbona maelezo ni tofauti na ulivyoielezea wewe pimbi wewe!
 
Yeye mwenyewe huyo mzee hapo kariakoo hajanunua hilo eneo. Bali alirithi kutoka kwa wazazi wake. Kwa nini na yeye hataki generation yake irithi tena kama yeye alivyorithi
Hata wewe ukipewa zawadi, hulazimiki kuitoa hiyo zawadi kwa mtu mwingine. Ukirithishwa, hulazimiki kurithisha. Vyovyote unavyokuwa umepata mali, haulazimishwi kurithisha. Ni wewe ndio uamue tu kugawa, kurithisha au kufuja.
 
Hakuna lazima ya kuacha Mali ili watoto waje kurithi. Kinachorithiwa ni kitakachokuwepo baada ya mmililiki kufariki.
 
Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibla bila shuruti.
Hapo mngegawana majengo ya serikali baba yako angeenda mochwari wewe jela.
Unampangia mzee na mali yake aliyoitafuta kwa jasho lake? tafuta mali yako kijana
 
Mzee kashituka kaona akikata kamba hata kabla ya msiba kesi hii apa na bei ishaongelewa mzee yupo sawa unakuta litoto halijitumi linasubiria ufe liaze kushuhulikia ulichokitafuta kwa jasho ila kama watoto wanapambana na wanamaono angewapa hakuna mzazi anataka mwanae ateseke ila kama ajishuhulishi kwasababu ya urithi nisawa kugawa bure kwa anaejishuhulisha .

Mimi wanangu atakaekua mpambanaji na mwenye maono mazuri nampa kikubwa akiwa mvuta bangi ,mlevi,malaya mvivu asee halambo kitu
 
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.Mithali 13:22
 
Hao viongozi wa msikiti wakipokea hio zawadi sio sahihi mna huwezi kuwaacha watu wako masikini wakati ww mali unazo
Mtume alimkataza swahaba alotaka atoe mali yake yote swadaka akaambiwa je unataka kuwaacha watu wako katika umasikini? Hadithi ni ndefu na kama hao viongozi wa msikiti wanalijua hili basi hawawezi kuchukua iyo nyumba
 
Hakuna watu wanapenda mali za bure kama waislamu waswahili.

Kuna kesi nyingi za waislamu wakigombea mali za waislamu waliofariki kariakoo kwa kisingizio cha walipewa wakfu.

Misikiti mingi inafanya biashara ya fremu na car parking..

Sasa hapo kariakoo jinsi fremu zilivyo dili, ni kiongozi wa msikiti gani ataikataa hiyo ardhi ya bure. Maana anajua fremu zikijengwa na yeye atafaidika kula kodi hizo
 
Masheikh wa kisufi hao siwapendi haswaa mna wanapoteza watu tuuu
 
Back
Top Bottom