Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Hakuna kitu kama hicho kasome dini vizuri ,na kama kafanya hivyo ni lazima awe kawashirilisha watoto wake ..Katika uislamu mirathi ni lazima kuacha kama ulikuwa na mali.
Sasa wewe sio kusoma dini tu bali hata akili yako ipime vizuri ,maanake hata unachoandika hukielewi..mtu yupo hai anarithiwa vipi? Urithi ni kwa mtu aliyekufa..Tangu lini mtu hai akarithiwa? Kichwa chako kipo vizuri kweli?
 
Mirathi ni baada ya mtu kufariki, mazali mwenye ni mzima hakuna mwenye haki ya kuleta shobo.
 
Sasa wewe sio kusoma dini tu bali hata akili yako ipime vizuri ,maanake hata unachoandika hukielewi..mtu yupo hai anarithiwa vipi? Urithi ni kwa mtu aliyekufa..Tangu lini mtu hai akarithiwa? Kichwa chako kipo vizuri kweli?
Lazima ashirikishe watoto wake katika kila jambo
 
Matoto majinga majinga si ya kuyarithishaa chochote mzee yupo sawa kabisa

hao watoto unakuta hawajishughurishi na chochote zaidi ya kulewa na kufanya uzinzi na kuvuta bange huku wanasubiri mzee afariki then wauze mali.

Mzee kafanya vyema kutoa mali kwa msikiti iwe faida kwa vizazi na vizazi kwa ajili ya ALLAH.
Kurithi ni haki siyo fadhira...mali yako inakuwa yako tu kama hauna watoto...hivyo kama unataka usirithishe ni rahisi tu usizae watoto fullstop
 
Watoto waache upumbavu. Wakati Mzee wao ananunua kariakoo enzi hizo kariakoo haikuwa prime area. Watoto waende huko mkuranga, kivule, vikindu na nje ya mji wawajibike kununua ardhi yao baadae hizo sehemu zitakuwa prime area.
Huyo mzee ndiyo mpumbavu alikuwa na uamuzi wa kuzaa au kutokuzaa ...kama anaona watoto ni tatizo kwa mali zake asinge zaa fullstop.
 
Nyumba yake, ana haki ya kufanya chochote anachokitaka. Watoto wakatafute nyumba zao kwenye prime area. Urithi sio haki. Nimewazaa, nimewasomesha, mmekua, tafuteni zenu.​

Tatizo wanaotakiwa kutuongoza kwenye hizo imani ndio wamekua wa kwanza kutupotosha.

Wanatupotosha sababu wanafaidika na sadaka zetu.

Huyo babu ana miaka 98, akili imeshakuwa ya kitoto. Ndio maana anafanya maamuzi hayo bila kujua hasara watayopata vizazi vyake
 
Huyu mzee kuwa waislam nao wana matumbo na familia zao zinahitaji kula? Angepata mshauri mzuri angefanya ubia na ajengo ngoropha amampo angeweza kutoa floor mojawapo akitoa kama wakfu.

Mzee ana miaka 98, akili yake imeshakuwa ya kitoto
 
Wanatupotosha sababu wanafaidika na sadaka zetu.

Huyo babu ana miaka 98, akili imeshakuwa ya kitoto. Ndio maana anafanya maamuzi hayo bila kujua hasara watayopata vizazi vyake
Na kuna kiongozi wa dini anamsikiliza. Hivi tukiambiwa sisi bado ni manyani tunakataa kwa sababu zipi 😂😂😂😂
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Sio Mzee Mohamed Said huyo? Ndio mitaa yake huyo babu. By the way, anatafuta radhi za mola wake aingie jahanamu ninyi mkifaidi mali zake? Mwache mali zake zimwingize pepo bhana!
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Huyu Mzee ana akili kali sana. Kwa wale hamuelewi hapa mzee ameamuwa kulinda mali yake isiuzwe na watoto wajinga. End code zingine tafuteni wenyewe. Wabilah wataufik
 
Ieleweke kuwa mzee huyu kwa mujibu wa maelezo ana maeneo mengi, na maeneo hayo ameshawapa watoto wake, hilo hapo ameamua kulitoa sadaka, shida iko wapi? Ingekuwa kosa kama watoto wasingeachiwa urithi wao.

Kafanya jambo zuri sana
Tatizo watu hawasikiliza hiyo clip vizuri. Hilo eneo ni misikiti tayari, ili ndio umebomoka . Anataka aanzishe taasisi ambayo itakuwa chini yake na kwa jina lake ili iweze kusaidia hata watoto yatima.
Haya mambo hufanyika kote duniani. Ukiona foundation nyinngi duniani ambazo zinasaidia wasiojiweza etc nyingi ni mali za watu waliokufa na kuelekeza urithi wao kwa ajili ya kusaidia watu.
 
Eneo lilikuwa ni madrassa na msikiti mdogo kama ile iliyopo kwenye sheli zote za oil com.

Ule msikiti wa kwenye sheli ni mali ya oil com na wala haujatolewa wakfu. Watoto wa oil com wana haki ya kurithi zile ardhi zao.

Ukienda kwenye viwanda vya bakhresa kuna msikiti. Ila hiyo misikiti haijatolewa wakfu ipo kwenye hati ya bakhressa

Ukienda Silent ocean kwa gsm kuna msikiti pia ila huo msikiti haujatolewa wakfu.

Mzee alichofanya ni katoa wakfu yaani anaamisha ardhi yote iwe mali ya waislamu.. ndio maana unasikia wanaenda kwa afisa ardhi kwa ajili ya kubadili hati.

Waislamu kibao nyumba zao zina madrassa na misikiti midogo ila hawazitoi wakfu. Zinabaki kwenye ardhi ya familia yenye hati ya familia yao.
 
Mzee kila akifikiria bikra 72 huko akhera.. awee anaona msinitanie
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Watoto waende mahakamani tu kwasababu umri wa miaka 97 huyo mzee atakuwa ameshaugua maradhi mengi na akili imeshabadilika haipo sawa.
 
Back
Top Bottom