Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Wakatafute zao...mzee yuko sawa...mtoto ana haki ya kufukuzia ndoto zake
 
wamepewa ardhi za mashamba mtwara hukooo , ndio maana walikuwa wanapinga.

umpe mtu kiwanja kisemvule halafu kariakoo ndio utoe sadaka,, huo ni ukichaa

ardhi ya kariakoo ni biggest asset, hata kama huna hela ya kujenga , watu wanakuja kuwajengea kwa mkataba wa ubia
Lakini urithi siyo lazima! Na zaidi, pengine watoto wa huyo mzee hawana uhusiano mzuri na baba yao au ameona watatapanya hovyo fedha kama akiwaachia. NB: Nakubaliana na wewe kuwa siyo kitu cha kawaida mzazi kutoa eneo prime kama hilo na kuacha watoto, ila kulingana na uzoefu wangu, uhusiano wa mtoto na mzazi unachangia sana kwenye kugawa urithi.
 
Swali?watoto walikuwa wanaishi vp na mzee wao

Ova
 
Watoto waache upumbavu. Wakati Mzee wao ananunua kariakoo enzi hizo kariakoo haikuwa prime area. Watoto waende huko mkuranga, kivule, vikindu na nje ya mji wawajibike kununua ardhi yao baadae hizo sehemu zitakuwa prime area.
 
Bakhresa hana akili za hivi akili matope kabisa hizo ulizoziandika, kwamba ni kufanya nini matoto majinga majinga si uliyazaa mwenyewe yalikutuma uyazae? Mzazi wa ovyo sana wewe na inaonekana utatesa sana watoto wako kisa uliwazaa ili waingie kwenye mfuko wa condom sio kwenye mfuko wa mimba
Slogan yangu ni kuwawezesha wanangu kuwa shape waweze kuyatawala mazingira yao kwanza nawapa elimu Bora.

Mtoto wangu siwalei kuanza kuangalia mali zangu ili arithi hapana kwanza Mimi nalea mtoto wangu asiwaze kurithi chochote kwangu ili akija kurithi asije kua Kama haya matoto yanayo ona mali za mzee wake ni wajibu kugawiwa.

Mzee tafuta vya kwako wafundishe wanao watafute vyao

WAHENGA HUSEMA MAREHEMU HUFA NA VYAKE PIGANA UTAFUTE VYAKO.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo


imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

View attachment 3379922
Ukichaa, karogwa na allah huyu.
 
Si unamuona mzee mwenyewe dini imemuingia

Ova
 
Mkuu kwa kweli leo Ile heshima ndogo ambayo nilikua nakupa nimeiondoa KABISA KABISA.

wewe ni ovyo kabisa nakupa a case study ikusaidie SIKU ZOTEEE WEKEZA KUWAJENGA NA KUWAWEZESHA WATOTO WAKO WAWEZE KUJITEGEMEA PERIOD!

Binafsi kwetu mzee wangu alimjengea kila mtoto wake nyumba hati na kila kitu ni kwa jina la mtoto Ila mpaka Sasa na utu wangu huu uzima Bado mzee ndie anae chukua Kodi na Wala sijawai/ hatujawai kuwazia urithi wa izo nyumba.

NB. Tatizo la ELIMU duni na uswahili ipo Sana mikoa ya pwani mtu anangojea mzee wake afariki ndipo waanze kuuza mali na kugawana kama machizi

KAMA NI RAHISI TAFUTA MALI ZAKO MWENYEWE SIO KUTOLEA MACHO URITHI THEN UNAENDA KULEWA NA KUNYWA POMBE NA KUVUTA BANGE
Kwenye dini imeandikwa usichoke kutenda mema ....pia usidhani wote wamejaliwa kufanikiwa kimaisha nje ya mali ya wazazi wao ...wewe umejaliwa kufanikiwa nje ya mali ya mzazi mshukuru mungu ila nakuona una kufuru na kujipiga kifua ...mzee wako alikuwa mzee sahihi ndiyo maana akusema kila mtu atajitafutia yeye mwenyewe alijituma kutenda mema bila ya kuchoka kwa kuwajengeeni ? Swali je kutegemea mali ya mzazi ni dhambi ? Je kurithi ni dhambi ? Je kulalia kitanda cha baba yako au mama yako ni dhambi baada ya yeye kufa ? Wapi imeandikwa kuwa ni dhambi ....? Mtoto kumuangalia mzazi wako ni kufanya tendo la fadhira ila mzazi kumwangslia mwanawe ni wajibu ...swali je kati ya jambo la WAJIBU NA LA FADHIRA NI LIPI LILILO MUHIMU ZAIDI ..Mfano kulipa deni au kutoa sadaka ...ndiyo maana yesu alisema usitoe sadaka ikiwa unashida na mtu kwanza ili sadaka yako iwe ya haki ni lazima itokane na misingi ya haki....
 
hao ni waislamu wa tanzagiza waarabu waliwaita washenzi, ndiyo asili ya neno “ushenzi” ni muislamu wa tabora aliyebeba mizigo ya pembe za ndovu ktk bara kigoma/kongo kufwata karavani hadi b’moyo, tanga na zanzibar bila ujira, waliitwa washenzi na warabu, ndiyo hao sasa …
 
Slogan yangu ni kuwawezesha wanangu kuwa shape waweze kuyatawala mazingira yao kwanza nawapa elimu Bora.

Mtoto wangu siwalei kuanza kuangalia mali zangu ili arithi hapana kwanza Mimi nalea mtoto wangu asiwaze kurithi chochote kwangu ili akija kurithi asije kua Kama haya matoto yanayo ona mali za mzee wake ni wajibu kugawiwa.

Mzee tafuta vya kwako wafundishe wanao watafute vyao

WAHENGA HUSEMA MAREHEMU HUFA NA VYAKE PIGANA UTAFUTE VYAKO.
Wewe una mtoto kwanza? Nisije nikawa najadiri jambo na mtoto ambae hata hajui mtoto mpaka kufika duniani ana gharama gani, km huna hata mtoto mmoja emu tuishie hapa maana huijui gharama ya mtoto
 
hapo ndio umemaliza ushauri wako wote wote? ama kweli Mungu alitunyima akili weusi.
Wewe kama ni mwanaume vuja JASHO tafuta mali zakoo.

Wewe kama ni wakike MSINGI KIUNO jua kujiposition kitumie icho KIUNO chako.

Tatizo JAMII nyingi za mkoa wa pwani vijana wake hubweteka kungojea mali za urithi ndio maana kichwani kwenu huwa mnaombea mzee afariki muanze kuuza mali na kuweka heshima bar
 
Nyumba yake, ana haki ya kufanya chochote anachokitaka. Watoto wakatafute nyumba zao kwenye prime area. Urithi sio haki. Nimewazaa, nimewasomesha, mmekua, tafuteni zenu.​
 
Back
Top Bottom