Smile Digital Stationery
JF-Expert Member
- May 5, 2024
- 202
- 317
Mkuu jukumu la mzaz baada y kukuzaa ni kukuhudumia mahitaj yote kuanzia chakula, malazi, mavazi na haki za kimsingi ikiwemo shule n.k, mpka utakapotimiza umri wa wewe kujitegemea (kua au kuolewa). Baada y hpo huna lawama tena kwake, n jukumu lko naww kujitafutia vyako na sio kuangalia tena vyake na mkewe.mtoto hajaomba azaliwe,, baba kawazaa kwa starehe zake,, sasa why awaache wateseke ?
kama alikuwa mbinafsi alipaswa asizae watoto
Km utakuwa hvyo bc ww n mvivu wa kifikra, mnashindwa hata na wanyama na ndege?, angalien life style ya hao viumbe hlfu ujiangalie wew unaetegemea kumtegemea mzazi wko kukuhudumia had mwisho wa maisha yko.