- Thread starter
- #81
Mwanaye amesema kuwa mzee ana maeneo mengi. Hilo alilotoa sadaka ni mojawapo tu. Hakuna tatizo hapo.
maeneo mengi ila hayo mengine hayapo kariakoo,, maeneo mengii mtwara huko mashambani yana faida gani? ama kisemvule huko ndani ndani, ndio maana hata mtoto amesema kwamba watoto walipinga ila mzee ndio kaamua