Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Yes ndo maana kuna social learning theoryTuko pamoja hapo mkuu.
Mtoto akiwa mwizi lawama kwa wazazi.
Mtoto akiwa mvivu lawama kwa mzazi.
Mtoto akiwa mpenda vya bure lawama kwa mzazi.
Vivyo hivyo, mzazi ana mchango mkubwa katiaka tabia ya mtoto.
Poor Brain