Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Mzazi wa mo dewji angekuw na fikra za aina hii, sidhani metl group ingekuwapo leo
Wote hatuwezi tukawa watoto wa kuendeleza empires na babu mzaa babu wa Mo angekuwa na mawazo ya kwanini asiachiwe vitu huenda hata hio Metl isingekuwa Wazo / Idea...

Hilo ni moja na mbili enzi za Mom and Pope Business au Biashara za vizazi na vizazi inakwenda kupotea na imebakia kwa wahindi na wajapan sasa hivi big businesses ni Corporations and PLC's wote kina Adidas na kina PUMA sio family owned tena na hata kina TATA kuna wadau wengi ambao sio Tata family..., Nyie ndio wale mnalazimisha watoto wenu wafuate mnachopenda nyie au kuendeleza mnachotaka nyie na sio wanachotaka wao

To each their Own...
 
Ningeenda mahakamani kuwa mzee hana akili nzuri asee ....hapo ni billion 4 unaongealea afu analeta ungese..... mshua tungekutana mahakamani aseee
 
M

Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.

Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe

Mzee yupo sahihi kabisa.

min -me
secretarybird
Monetary doctor
👉Kwa upande wake yupo sahihi

👉Ila Mimi monetary doctor siwezi fanya hivyo kwa wanangu, nitajitahidi niweke mazingira wezeshi kama nilifika 3/10 basi wao ule uwezeshi wafanye 5/10 na kizazi kijacho hivyo hivyo

👉 Kariakoo ni sehemu ya kibiashara kuweka kitega uchumi Cha jengo ni fursa tosha, mapato yatokanayo na jengo Hilo itawawezesha kutafuta eneo jingine potential na kuwekeza ten,

👉waki generate cash flow 20 yrs next wanajikuta wapo mbali

👉 Ndugu zangu katika imani tumepata pa kuswalia Takbir secretarybird
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

Hizi dini za kigeni za kuja na majahazi na merikebu ni hatari sana kwa ustawi wa kiuchumi, kijamii na kitamaduni kwa mtu mweusi.

Tunatupa mali, tunachukua majina ya kigeni badala ya kienyeji ya kuonesha mzizi wa ukoo na jamii zetu, tunaenda kuhiji Jerusalem, Mecca na Roma kutajirisha jamii za huko yaani madhila ni kibao kwa mtu mweusi kwa kukumbatia vitu vya kigeni
 
Ni mali yake anaweza kumpa yeyote anayemtaka, lakini hii inauma labda kama watoto wana uwezo mkubwa, vichwa vimeharibika au hawana uhusiano mzuri, Ila dini hizi hapana 😩
 
Serikali inapambana misikiti ipungue ili uislamu ufe halafu hiki kibabu kinatoa ardhi msikiti ujengwe,huki ni kihaini
 
Wote hatuwezi tukawa watoto wa kuendeleza empires na babu mzaa babu wa Mo angekuwa na mawazo ya kwanini asiachiwe vitu huenda hata hio Metl isingekuwa Wazo / Idea...

Hilo ni moja na mbili enzi za Mom and Pope Business au Biashara za vizazi na vizazi inakwenda kupotea na imebakia kwa wahindi na wajapan sasa hivi big businesses ni Corporations and PLC's wote kina Adidas na kina PUMA sio family owned tena na hata kina TATA kuna wadau wengi ambao sio Tata family..., Nyie ndio wale mnalazimisha watoto wenu wafuate mnachopenda nyie au kuendeleza mnachotaka nyie na sio wanachotaka wao

To each their Own...
Vaa Condom
 
Hamna mahali nalazimisha mtoto afuate ninachopenda, tajiri number 1 india, ule ni utajiri wa familia.
About 79% ya uchumi india unaendeshwa kwa generational wealth
Wenye hizo campuni ndio wameajiri watu wengi zaid.
Kwamba enzi za kukabidhi makampuni kwa kizazi kinachokuja unaisha? Nani kasema?

Asian bado wako pale pale, na ni moja ya driving factors za uchumi wao.
Japokuwa wanazo nyingi
Europe haswa germany bado wana same tradition

Marekani pia some families akina ford motors, walmart, still zina run kwa line age yao

Sikejeli ambao hawataki kupita hiyo path, but naimagine if wazazi wengi wangeji commit kwa hilo?
Je watu wengi wanengeendelea kutoa milio ya umaskini?
 
Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibra bila shuruti.
Tafuta zako acha kusubiri kupewa.

Unajua baba yao alizipataje hizo mali hadi mitoto mijinga inalilia?

Huu ujinga wa kusubiri mzazi afe ili urithi ndiyo unawaponza wengi kufa masikini.

Urithi ni zawadi tu sio lazima. Mtu anaweza kuamua urithi wake ampe nani na kwa malengo gani as long as wakati anafanya maamuzi hayo alikuwa na akili timamu hakulazimishwa na mtu.
 
Uamuzi wake ni sahihi,kama Kila mtoto karithishwa eneo,tatizo liko wapi,
Mpaka kuamua kufanya hivyo anawajua vyema watoto wake,kwa mfano ana watoto kumi, 7 me na 3 ke,Endapo Mzee akaunti yake ya Maisha ikimalizika,baada ya Maziko na arobaini.
Na hao watoto kumi Kila mmoja ana mwenzi wake,huyu ana mume na huyu ana Mke.maamuzi ya familia yatakuaje kama si kuuza ili Kila mtoto afe na chake?
Bora alivyoamua kufanya hivyo,hiyo mifano tunaiona huku tunakoishi.
Nyie wa ushuani sawa.
 
urithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake

pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Hiyo ni bibilia yenu sisi kobazi haituhusu
 
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.

Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.

NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.

😂😂😂
Maneno ya uchungu haya..
Kama haukupata sio lazima hao unawaponda wasipate kama wewe kama zipo...
 
Mzee yuko right na mali zake,kama wangekuwa ni watoto wema nina uhakika asingewaacha na mavi.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

View attachment 3379922
Allah Akbar
 
Mzee miaka 98, hii unaweza kwenda mahakamani ukashinda kesi kama mtoto, utetezi ni mzee mental health yake imeanza kuporomoka ni ngumu kwake kuelewa anachofanya kwa sasa😂😂😂
 
Soma uislamu sio kukurupuka hata afanyaje watoto watapata urithi na waqfi unakuwa kama third party ..Katika uislamu urithi ni lazima ,kama yuko hai hamna urithi siku akifa watapata acha tu aropoke hapo.

hapo hawawezi kupata, hiyo ameitoa wakati akiwa hai na mzima wa kiakili. Waqf zinazetungeuliwa ni zile na wasia.
 
Mkuu jukumu la mzaz baada y kukuzaa ni kukuhudumia mahitaj yote kuanzia chakula, malazi, mavazi na haki za kimsingi ikiwemo shule n.k, mpka utakapotimiza umri wa wewe kujitegemea (kua au kuolewa). Baada y hpo huna lawama tena kwake, n jukumu lko naww kujitafutia vyako na sio kuangalia tena vyake na mkewe.

Km utakuwa hvyo bc ww n mvivu wa kifikra, mnashindwa hata na wanyama na ndege?, angalien life style ya hao viumbe hlfu ujiangalie wew unaetegemea kumtegemea mzazi wko kukuhudumia had mwisho wa maisha

Mkuu jukumu la mzaz baada y kukuzaa ni kukuhudumia mahitaj yote kuanzia chakula, malazi, mavazi na haki za kimsingi ikiwemo shule n.k, mpka utakapotimiza umri wa wewe kujitegemea (kua au kuolewa). Baada y hpo huna lawama tena kwake, n jukumu lko naww kujitafutia vyako na sio kuangalia tena vyake na mkewe.

Km utakuwa hvyo bc ww n mvivu wa kifikra, mnashindwa hata na wanyama na ndege?, angalien life style ya hao viumbe hlfu ujiangalie wew unaetegemea kumtegemea mzazi wko kukuhudumia had mwisho wa maisha yko.
Mahitaji ya msingi kwa binadamu uliyoorodheaha hapo siyo urithi.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

View attachment 3379922
ahera inatafutwa
 
Back
Top Bottom