Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Hamna mahali nalazimisha mtoto afuate ninachopenda, tajiri number 1 india, ule ni utajiri wa familia.
About 79% ya uchumi india unaendeshwa kwa generational wealth
Wenye hizo campuni ndio wameajiri watu wengi zaid.
Ndio hicho nakwambia fuatilia facts zako mambo ya utajiri / mali za ukoo zinaenda kupungua polepole kampuni ikishakuwa a plc hapo ni shares na usishangae kampuni yako mwenyewe watu wanaku overturn na kukuondoa na kinachobakia kwenye kampuni ni jina lako lakini sio a majority share holder.

Na watu wenye akili ni kwamba unaachiwa shares lakini sio necessarily day to day management of a company sababu umahili na busara ya kuendesha Kampuni haipo kwenye damu (DNA) bali ufanisi wa mtu husika
Kwamba enzi za kukabidhi makampuni kwa kizazi kinachokuja unaisha? Nani kasema?
Zamani kampuni ikishakuwa Mashaka and Sons basi ndio hivyo kizazi na kizazi ila unavyoipeleka na kuwa a plc (ambazo ni kampuni nyingi kubwa duniani katika kujaribu kuongeza mitaji) hio ni fair game mkicheza huenda generation zijazo mkajikuja wala sio majority shareholders
Asian bado wako pale pale, na ni moja ya driving factors za uchumi wao.
Japokuwa wanazo nyingi
Europe haswa germany bado wana same tradition
Kama nilivyokwambia ukishakuwa a PLC it's fair game; na kabla sijafika mbali kajisomee kuhusu corporate raiding katika miaka ya 70 mpaka ya 90 na jinsi kampuni za familia zilivyokuwa hijacked na wadau....; In today's cut throat age and competition it is hard to keep it in the family; na kama nilivyosema ukiwa na busara utatengeneza trusts za ku guarantee familia yako inapata mgao na sio necessarily running of the business
Marekani pia some families akina ford motors, walmart, still zina run kwa line age yao
Ford Motor Company is publicly traded and owned by shareholders, but the Ford family maintains significant control through a dual-class stock structure. While the public owns the common shares, the Ford family holds the Class B shares, which represent a small percentage of the company but have a disproportionate amount of voting power. According to The Motley Fool, the Ford family controls roughly 40% of the voting rights. William Clay Ford Jr., a member of the Ford family, is the current chairman of the company
The Waltons are the richest family in America thanks to their stake in Walmart, the world's largest retailer by sales. An estimated 45% of Walmart's stock is held by the families of seven heirs of founders Sam Walton (d. 1992) and his brother Bud (d. 1995)

And for your Information ikishatokea hivyo katika a Public traded company theoretically they can over run your shares au wasikuchague kama CEO....
Sikejeli ambao hawataki kupita hiyo path, but naimagine if wazazi wengi wangeji commit kwa hilo?
Je watu wengi wanengeendelea kutoa milio ya umaskini?
Hivi unajua mzigo na kazi ya kupewa mantle ya kuendeleza mali ya vizazi na vizazi..., wengi hii kazi huwa inawashinda na wanapata stress au hata wengine kukosa raha sababu ukishinda ni it is okay na ukefeli ni kwamba kampuni imekufa kwenye mikono yako Hivi unadhani CEO wa the oldest Company in the world - Kongo Gumi; alijisikia vipi pale ambapo kampuni ya karne na karne ilikuwa ifie mikononi mwake...

The last CEO of Kongo Gumi before its acquisition was Masakazu Kongō. He witnessed the failure of the company, which had been in his family for 1,400 years, due to mounting debt and declining demand for temple construction,

NB: Mzazi alaumiwe kwa kushindwa ku provide basic needs na elimu na kujaribu kufanya all that he / she can for the best of his / her children wakati wanakua na sio kwanini vyote alivyonavyo / alivyotafuta hakuwaachia watu hata ambao hawana shukrani na wanaona ni Haki yao...
 
Kuna mzee mmoja alikua na wadhifa mkubwa serikalini mpaka amestaafu miaka 15+na ushee nyuma.

Alipo fariki kila mtoto ambao walichezea shule na walidekezwaga Sana wanaanza kugombea mali za marehemu na kuzifuja bila huruma

WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NA WANALEWAA NA KUHONGA WANAWAKE NA KILA UCHAFU UUJUAO
Hapo mzazi aliyataka mwenyewe na alienda kinyume na maandiko
1. Mlee mwanao katika njianimfaayo nayo hataiacha kamwe- hapa ni malezi, maadili na elimu hakuwapa
2. Urithi - hapa ni mali yaani kitu kinachoshikika.

Mkuu uki combain hivi vitu viwili kwa mtoto baso generation wealth lazima iwepo.

Nb elimu sio urithi. Urithi ni kitu kinachoshikika
 
Mlikuwa mnaishi vipi na mzee? Maana ni ngumu mzazi kuwa na roho ya kiwango hiki kwa uzao wake.
 
Tatizo la kukosa formal schooling.... wasipojitaidi kuoka huko, shida bado kubwa
 
Wewe tupo pamoja
Mimi Mali zangu nazitafuta tena kwa jasho lakini kitu ambacho kinanikera ni wazazi wanaowalea watoto vibaya halafu baadaye wanawatupia lawama. Wakati mwengine mzazi anashindwa kumwandalia mtoto wake maisha mazuri halafu anamwacha taabuni yeye anauza assets zote.
 
Kwa nini unajiona una haki ya kumtaka mtu atumie mali zake kwa namna fulani na si nyingine?

Haki hiyo unaitoa wapi?
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

View attachment 3379922
As long as yupo hai na ana akili timamu , hauwezi kumpangia cha kufanya na hakuna sheria kwenye uislamu inayomlazimisha yeye kuacha "urithi" (japo urithi ni mpaka mtu afe akiwa hai hauitwi urithi japo akifa basi ni haki ya mali yake igawanywe kwa wanaotakikana kuirthi kutokana na sheria za uislamu) . Na watoto kama ni watu wazima basi watafute vya kwao haijalishi ni prime area au la!
 
Ndio hicho nakwambia fuatilia facts zako mambo ya utajiri / mali za ukoo zinaenda kupungua polepole kampuni ikishakuwa a plc hapo ni shares na usishangae kampuni yako mwenyewe watu wanaku overturn na kukuondoa na kinachobakia kwenye kampuni ni jina lako lakini sio a majority share holder.

Na watu wenye akili ni kwamba unaachiwa shares lakini sio necessarily day to day management of a company sababu umahili na busara ya kuendesha Kampuni haipo kwenye damu (DNA) bali ufanisi wa mtu husika

Zamani kampuni ikishakuwa Mashaka and Sons basi ndio hivyo kizazi na kizazi ila unavyoipeleka na kuwa a plc (ambazo ni kampuni nyingi kubwa duniani katika kujaribu kuongeza mitaji) hio ni fair game mkicheza huenda generation zijazo mkajikuja wala sio majority shareholders

Kama nilivyokwambia ukishakuwa a PLC it's fair game; na kabla sijafika mbali kajisomee kuhusu corporate raiding katika miaka ya 70 mpaka ya 90 na jinsi kampuni za familia zilivyokuwa hijacked na wadau....; In today's cut throat age and competition it is hard to keep it in the family; na kama nilivyosema ukiwa na busara utatengeneza trusts za ku guarantee familia yako inapata mgao na sio necessarily running of the business

Ford Motor Company is publicly traded and owned by shareholders, but the Ford family maintains significant control through a dual-class stock structure. While the public owns the common shares, the Ford family holds the Class B shares, which represent a small percentage of the company but have a disproportionate amount of voting power. According to The Motley Fool, the Ford family controls roughly 40% of the voting rights. William Clay Ford Jr., a member of the Ford family, is the current chairman of the company
The Waltons are the richest family in America thanks to their stake in Walmart, the world's largest retailer by sales. An estimated 45% of Walmart's stock is held by the families of seven heirs of founders Sam Walton (d. 1992) and his brother Bud (d. 1995)

And for your Information ikishatokea hivyo katika a Public traded company theoretically they can over run your shares au wasikuchague kama CEO....

Hivi unajua mzigo na kazi ya kupewa mantle ya kuendeleza mali ya vizazi na vizazi..., wengi hii kazi huwa inawashinda na wanapata stress au hata wengine kukosa raha sababu ukishinda ni it is okay na ukefeli ni kwamba kampuni imekufa kwenye mikono yako Hivi unadhani CEO wa the oldest Company in the world - Kongo Gumi; alijisikia vipi pale ambapo kampuni ya karne na karne ilikuwa ifie mikononi mwake...

The last CEO of Kongo Gumi before its acquisition was Masakazu Kongō. He witnessed the failure of the company, which had been in his family for 1,400 years, due to mounting debt and declining demand for temple construction,
Kuwndesha ni ngumu, failure ina comprise of many factorsoja wapo ni maandalizi.
Kama kizaz kilichopita hikuandaa kikamilifu na ku teansfer uzoefu lazima itafeli tu, si suala la bahati

Yes once company ikishaenda publick ni ngumu but moja ya trick kubwa wanafanya ni kushikilia majority ya shares, na mwenye share kubwa ndie anakuwa na sauti
So tunarudi pale pale
 
Mzee yuko right na mali zake,kama wangekuwa ni watoto wema nina uhakika asingewaacha na mavi.
Ni kweli mzee kaona mbali matoto majinga majinga ni laanaaaa ndio maana mzee kafanya vyema kutoa mali kwa msikiti iwe faida kwa vizazi na vizazi kwa ajili ya ALLAH.
 
Akili ya haraka mkuu ni kuwa hao watoto walikuwa wanazingua,na ukute sumtime walikuwa wanaomba Mzee adedi warithi mali,naona Mzee kaona achukuwe maamuzi kabla hajafa.
 
Hapo mzazi aliyataka mwenyewe na alienda kinyume na maandiko
1. Mlee mwanao katika njianimfaayo nayo hataiacha kamwe- hapa ni malezi, maadili na elimu hakuwapa
2. Urithi - hapa ni mali yaani kitu kinachoshikika.

Mkuu uki combain hivi vitu viwili kwa mtoto baso generation wealth lazima iwepo.

Nb elimu sio urithi. Urithi ni kitu kinachoshikika
Kweli hao watoto wangekua watiifu na wenye upendo mzee wao angewapa iyo mali.

Biblia /MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA HAKUNA MWANADAMU AKIOMBWA NA MWANAWE MKATE AKAMPA NYOKA...IKIWA HATA MWOVU HUWAPA AWAPENDAO MEMA ITAKUWAJE KWA MWANA WA MUNGU.

Mzee Kuna mambo kaona hayapo sawa so tuwafunze watoto wetu njia zipasazo na kuwawezesha kwa ELIMU na kuwaonyesha njia zipasazo

Otherwise ukute watoto walisha kaa KIKAO wamuwekee sumu wamuue mzee wao guess what.
 
Back
Top Bottom