Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ogopa Sana mwanaume akiwa anatafuta chakeee 🤓 hashindwi na kituuu.
Ogopa Sana mwanaume akiwa anatafuta chakeee 🤓 hashindwi na kituuu.
Chaa ajabu hapo akiumwa anataka wototo wamuuguzeWazazi wamekuwa wakorofi sana hivyo tuwafute kusiwe na wazazi duniani!
Siyo lazima iwe imeandikwa.Wapi imeandikwa ikiwa na watoto lazima uwape urithi?
Kule aliko silimishwa ibilisi na kuwa muislamu na swahaba safi wa mtume muhammadkibra ndio wapi huko mkuu
Nakubaliana nawewe 🤣Ogopa Sana mwanaume akiwa anatafuta chakeee 🤓 hashindwi na kituuu.
Ahaaa hakika na hii mentality imewaharibu Sana vijana wa Pwani .Safi Sana kaka tuwawezeshe watoto wetu kwenye ELIMU na kujitegemea na tusiwalee kutegenea urithi unakuta familia nyingi Sana za mikoa ya pwani unakuta kijana anasubir mzee afariki waanze kuuza na kugawana mali za mzee wao kwa FUJO NA KUFUJA MALI ZA MZEE WAO.
Hata yeye mjane akitaka anaweza kwenda kuomba usimamizi. Akiona hao wajukuu wanabishana bishana yeye aende kuomba usimamizi. Kama ni Dar hapa, atafute cheti cha kifo cha Mzee Babu halafu aende Mahakama Jumuishi Temeke, afungue mirathi, anaweza kufanya kesi mwenyewe ila kwa usahihi zaidi anitafute nimsaidieAsante sana mkuu. Na msimamizi wa mirathi anapatikanaje? Je, wajukuu wasipofikia muafaka na kukubaliana ni nani awe msimamizi itakuwaje? Na yule mjane ana nafasi yoyote kwenye kutoa maamuzi ya msimamizi wa mirathi awe nani?
MasikitikoAhaaa hakika na hii mentality imewaharibu Sana vijana wa Pwani .
Ndugu yangu katika imani Leo umeongea kama mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi.👉Kwa upande wake yupo sahihi
👉Ila Mimi monetary doctor siwezi fanya hivyo kwa wanangu, nitajitahidi niweke mazingira wezeshi kama nilifika 3/10 basi wao ule uwezeshi wafanye 5/10 na kizazi kijacho hivyo hivyo
👉 Kariakoo ni sehemu ya kibiashara kuweka kitega uchumi Cha jengo ni fursa tosha, mapato yatokanayo na jengo Hilo itawawezesha kutafuta eneo jingine potential na kuwekeza ten,
👉waki generate cash flow 20 yrs next wanajikuta wapo mbali
👉 Ndugu zangu katika imani tumepata pa kuswalia Takbir secretarybird
Wazazi wengi wa kiafrika wanazaa tu kama simbilisi hawajui kwa nini wanazaa.Wewe tupo pamoja
Dennis Robert Shughuru , namshaur atakapo panga jopo lake la Baraza la mawaziri ahakikishe anampa nafasi kijana wetu huyu anafaa Sana kupeperusha benderaaNdugu yangu katika imani Leo umeongea kama mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi.
hongera ndugu yangu katika imani.
SIMBILISI TENA 🏃🏃🏃🏃Wazazi wengi wa kiafrika wanazaa tu kama simbilisi hawajui kwa nini wanazaa.
Nadiriki kusema hivyo kwa sababu yeye mwenyewe ni mshangazi.Unataka kusemaje .
Kwamba tabia yangu ya kupenda mashangazi inachangiwa na mama angu kipenzi Binti wa zamani
Unajua kuna mambo yapo hidden.Masikitiko
Mwenyewe ningemshtaki huyo babu yake FaizaNdugu yangu katika imani Leo umeongea kama mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi.
hongera ndugu yangu katika imani.
Mkuu maamuma ni GENTAMYCINE ambaye hana kichwa.Mimi na kobaz wenzangu tunashukuru kwa sadaka hiyo, Allah amuongezee, Amiin
cc secretarybird kobaz maamuma
Tafuta mali yako mkuu acha kulialiaje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922