Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

imagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
Waswahili walivo watu wa kujipenda yeye akishiba biriani, anashushia na tende kibarazani sheihk wewe na njaa zako hakujui.
Yeye keshajishibia zake we walia njaa.
 
Urithi sio obligation kama alikulisha na kukusomesha huo ni urithi tosha na kama vipi unaona alikosea kukuzaa unaweza kumeza sumu ukafa....;

Kelele unaweza kupiga ikiwa na wewe ulikuwa part ya nguvu kazi i.e. kuchuma mfano kama ni shamba na wewe ulikuwa unalima hadi kupelekea yeye kuongeza ekari kadhaa...
Sasa unachobisha ni nini???
Familia nyingi za afrika watoto ndio wanapambana kama vibarua.
 
Mbona mtoto kasema watoto wameshapewa sehemu zao? Tena amefafanua kabisa kuwa kwa mujibu wa dini, huwezi kutoa wakfu huku hujawapa watoto urithi wao? Hamsikilizi video mnakimbilia kutoa povu tu?
Ila mwanangu huo wakfu hapo kariakoo sio wakitoto, pale kariakoo hata baba yangu angekuwa na nyumba 30 pale akitoa moja nakula nae sahani moja😅😅😅 uchizi huu sasa.

kuna jirani yetu huku moshi ni mchagga mwenzetu aliona mtoto wake mmoja kawa mlokole yaani kaokoka kwenye haya makanisa huku mtaani wanaita ya kiroho......mzee ana umatemate, hata hapa mjini daslam ana assets mjini, mfano ana nyumba pale temeke za ghorofa pia kule kimara, kariakoo mtaa wa sundaland anayo pia, mzee alituambia huyo mtoto hawezi mpa urithi wowote maana mali zake sio za kanisa ya kilokole 😅😅😅
 
Kwahiyo wanae wakarithi kisenvule ndani ndani ili wakalime na mihogo kariakoo kwenye big asset wapate mashekee
Ili masheihk wakae na misuli yao vibarazani wale tende na bakishishi, tambua nakwambia huyu mzee hajui atendalo maana kiongozi wa msikiti atanufaika na kizazi chake wala watoto wa huyu mzee hawatakumbukwa kwa lolote.

Tena msikiti wenyewe kiongozi ndiyo anapewa Mdigo wa Tanga au Mpare au Mpemba, wataisoma namba haloooo.
 
Sasa wewe sio kusoma dini tu bali hata akili yako ipime vizuri ,maanake hata unachoandika hukielewi..mtu yupo hai anarithiwa vipi? Urithi ni kwa mtu aliyekufa..Tangu lini mtu hai akarithiwa? Kichwa chako kipo vizuri kweli?
Hafahamu maana ya mirathi, mirathi ni baada ya muhusika kutangulia......akiwa hai anaacha wosia na sio lazima kuacha wosia.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Mzee anataka kwenda kukutana na mabikira 72. Ukute hadi umri huo alikuwa anakula vitu used tu hapa Duniani hajawahi kukutana na mzigo ukiwa na nylon.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Kabla ya kumlaumu mzee je watoto wenyewe wanaajibika kwa babao?.Pengine ni wakubwa na nguvu zao lakini wanacheza karata,bongomovi,wanaoa wakiishi kwa wazazi hapohapo huku wakila chakula kilicholetwa na mzee.Je hawa lengo lao nini kama hawafanyi kazi? Ni kwamba wanangoja babao afe wagawane uridhi.Vijana mkiwa wakubwa tafuta kazi mfanye muwasaidie wazee wenu ndipo watapoona umhimu wa kuwaridhisha mali kabla ya kuondoka
 
Kuna muda huwa naamini dini ni ujinga, upumbavu na utapeli tu. Dini ya kweli ni kuzingatia misingi ya utu, mengine ni mbwembwe tu.
 
Hili swala liliwai kuongelewa hapa.
Kuna mshua alitoa nyumba k,koo au ilala ujengwe msikiti watu wakafanya yao.
Zikajengwa msikiti ilala na fremu kibao kkoo.
Mzee Mody anajua alikuwepo.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Hili ndilo tatizo kubwa la wazee kama hawa, wanafikiri hizi dini za kuletewa zisizo na mashiko kwetu Waafrika ni dini za maana, kwa kweli inasikitisha mno kuona huu ujinga wa kuendekeza dini za watu bado unaendelea.
 
Tatizo ni lako. Kwa nini inasema watu weusi? Hujui kwamba weupe huacha mali yao kwa mbwa au paka wakiita pets? Hujui Wahindi huchoma moto? Wacha kujixeleu sema huyu mtu kakosra au kapatia, usiweke idiotic generalisations.
 
Kabla ya kumlaumu mzee je watoto wenyewe wanaajibika kwa babao?.Pengine ni wakubwa na nguvu zao lakini wanacheza karata,bongomovi,wanaoa wakiishi kwa wazazi hapohapo huku wakila chakula kilicholetwa na mzee.Je hawa lengo lao nini kama hawafanyi kazi? Ni kwamba wanangoja babao afe wagawane uridhi.Vijana mkiwa wakubwa tafuta kazi mfanye muwasaidie wazee wenu ndipo watapoona umhimu wa kuwaridhisha mali kabla ya kuondoka
Ni kweli kabisa walikua wapo hapo wanamngoja mdingi afe warithi wauze, dingi kawaotea tu wakose wote
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Mwenye mali kaamua. Watoto na ndugu watafute mali zao.
 
mimi nakubaliana na mzee kutokuwapa mali watoto wake, ila sikubaliani na mzee kufanya nyumba yake iwe mali ya msikiti.

kuna mitoto mipuuzi, inawezeshwa ina fuja hela halafu wanarudi nyumbani kusubilia mzee afe wagawane mali.
 
Back
Top Bottom