Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Unawanyima hela wanao unaenda kuwapa maimam na mashehe ubwabwa wakaolee na kutanua mjini. Waliowah kuishi karibu na Miskiti wanaelewa🚮
 
Kwenye familia kuna mengi pengine watoto wameanza sarakasi mapema.Unaweza kuta mzee kamind.Mnakumbuka yule mzee wa arusha aliyeamua kuvunjilia mbali nyimba yake kwa sarakasi za mwanae.Muhimu ni kujua nini chanzo
 
Mnaishije na Mzee wenu?Huenda alipanga awagawie ila akaja kubadili gia angani,aulizwe vizuri lazima atakuwa na sababu za msingi.
 
Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
Hiko kizee baadaye unaweza kukuta kinalaani tena watoto hawakihudumii/ hawakitunzi/wamekisahau/wamekitelekeza.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo


imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria


View attachment 3379922
Nyimwa vyote usinyimwe akili. Kama angetaka kujenga misikiti si angetengeza biashara ili hizo biashara zijenge misikiti tena kwenye maeneo mengi yenye uhitaji tu. Haya waarabu wakuchovya waendelee na utumwa. Kwali Africa bodo utumwani, angepewa hii Nchi huyu mzee siangeitoa hii nchi sadaka/wakfu kwa waarabu aise.
 
Hakuwasomesha na kuwapa chakula mpaka pale mlipoweza kujitegemea ? Kwani yeye Babu yake alimuachia nini tuanzie hapo kwanza ?

Tutofautisha Obligation (wajibu) na uamuzi / maamuzi ; By the way kitendo cha hawa kumpeleka mahakamani inaonyesha ni jinsi gani they don't deserve hata sumni ya huyu mzee...
Hata watoto kuhudumia wazazi wao ni hisani tu, sio lazima au wajibu.
 
Unafikiri hata Ulaya mtu akiacha mirathi kwa mbwa huwezi kujua alikuwa na maana gani

Kila mmoja ana haki ya kugawa Mali zake atakavyo

Kuna watu wanawaachia jirani
Na watoto wana hiyari ya kuhudumia wazazi kama hisani tu na siyo lazima au wajibu wao kuwatunza/kuwajali wanapozeeka.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo


imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria


View attachment 3379922
Je na yeye alinunua hiyo sehemu, au nae aliachiwa na Babu yake ila ndio kaamua iwe hivyo
 
Hilo eneo anauza anaenda jenga pembeni na anajenga msikiti hiko pembeni na anabakiwa na pesa za mtaji na maisha yanaendelea. Ogopa sana Mtu akigia dini hawabadiliki.
Dini huwa inatabia moja, huwa ina brainwash muhusika haswa akizingatia sana

Ina brainwash mtu na kuondoa logic reasoning mpaka anakuwa mjinga au anapoteza uwezo wa kuwaza na kutafakari
 
yeye ameshaishi maisha yake kafika umri wa kifo,, anawafanyia ubinafsi kizazi chake kisije kufaidi kodi za fremu za kariakoo
Anaamini akienda huko mbinguni atakuta Nyumba nyingine, ni ubinafsi tu
 
Sina uhakika kwa sheria ya Tz. Ila ninavyojua kwa nchi za Ulaya na America kuacha urithi ni lazima ila haisemi aachiwe nini na kwa kiasi gani.

Hivyo basi kwa scenario hii ingekua nchi za huko ilibidi baba aonyeshe kwamba hata watoto nimewagea. Hivyo angeweza kuwapa watoto vijiko na chupa ya chai halafu nyumba anapeleka msikitini.

Hii inasaidia hata watoto wakienda mahakamani itaonekana walipata kitu.
So kwa nchi za huko wangesubiri baba afe halafu wanafungua kesi kudai mirathi. Kwakua baba hakuonyesha kawapa chochote na alichonacho kawapa msikiti mahakama ingerudisha chote kwa watoto.
 
Back
Top Bottom