Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo


imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria


View attachment 3379922
imani kitu cha ajabu, anaamini akitoa hivyo kwa sababu amekuwa mzee ataenda mahali pema wakati hajampa Yesu maisha yake. hakiuna njia nyingine kwenda mahali pazuri bila Yesu Kristo, hata ukitoa mali zote ukajitoa hadi wewe mwenyewe. Mungu awasaidie.
 
Kutakuwa na sababu, kuna watoto walikuwa wanamuombea Baba yako afe ili warithi, kuna mwaka wa 3, hapa Dar Mzee wao aliwajengea watoto wake kila mmoja , na ile anayoishi akawaachia watoto wakike mapacha , mbona walituhumiwa kumuua dada yao kisa hiyo nyumba, Pacha wake hakuwepo hapa! Hivi mzazi wao angejuwa tabia yao angewafanyaje hao vijana!
 
Soma uislamu sio kukurupuka hata afanyaje watoto watapata urithi na waqfi unakuwa kama third party ..Katika uislamu urithi ni lazima ,kama yuko hai hamna urithi siku akifa watapata acha tu aropoke hapo.
Kama hakutakuwa na masndishi hapo sawa ila kama yayakuwepo akifa ndio hawapati kabisa.

Ukiona mzazi ameamua kufanya hivyo jua Kuna shida kati yake na watoto hivyo anawadhibu. Usikute watoto wenyewe wavuta bangi na vibaka watupu
 
Akifa huo wakfu utapingwa mahakamani kuwa uliandaliwa na mtu ambaye hakuwa timamu kichwani.

Wosia wenyewe unapingwa na watu wanashinda itakuwa wakfu?
 
😅🤣
Pambana kutafuta mali zako mkuu achana na vya mzee maana mzee kasema yeye anatoa mali yake kwa msikiti/ hivyo mzee hapangiwii
🤣🤣🤣
Zipo ndio.. Na ni za familia.. Ukiongeza zetu wenyewe.. Maisha yanasonga.. Wala hazileti utofauti maishani unaona kawaida tu.. Inshallah

Ila wewe kinakuuma nini na wanaotaka za Wazee wao!! Tulia wasome upite.. As umeonyesha kuumia kisa wana vyao.. Ni maisha huna haja ya kutaka lazima wapambane kama zipo wamewekewa mezani wazifaidi.

Huyo Mzee lazima ana yake binafsi au kaduiwa kitu iwe hivyo.. Kesho kutwa labda watakuta bonge la investment imefanyika hapo wanao kula wachache faida haindi iliposemwa. Maisha yana mengi.. Akili za wengine zinajua kupanga..
 
Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
Basi subiri mashekhee wawe wanachukua kodi hapo waanze kuongeza wake huku mwenye nyumba kaacha watoto 25 kwa wake tofauti wajipambanie
 
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kuto
Kutegemea urithi ni mawazo ya kichovu.
Chapa kazi kwa juhudi na maarifa umiliki vya kwako.
Warithi wengi wa kiafrika wamekuwa na uvivu utokanao na utegemezi, hilo hupelekea wengi wao kufirisika mara baada wazee kufa.
Mzee anamiliki mali kwakuwa alipambana kwa juhudi, maarifa na nidhamu, vijana nao wapambane ili kuwapa majibu kwa vitendo wazazi wao kabla kifo hakijawakuta.
 
Kama hakutakuwa na masndishi hapo sawa ila kama yayakuwepo akifa ndio hawapati kabisa.

Ukiona mzazi ameamua kufanya hivyo jua Kuna shida kati yake na watoto hivyo anawadhibu. Usikute watoto wenyewe wavuta bangi na vibaka watupu

Ninachomaanisha kama hiyo ni mali yake yote hakuna nyingine haifai ila kama ni sehemu ya mali na ana nyingine ni sawa ...
1000102746.png
 
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.

Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.

NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
Sasa si ndio wanagawana mirathi au
 
Back
Top Bottom