Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Hapo mzee kishabebeshwa majini 80 na mapepo elfu ili kumdumaza akili.

Ogopa sana kitu inaitwa imani.
 
Kwenye uislamu haifai kutoa mali yako yote wakfu na kuwaacha warithi wako bila kitu, na ndio maana hata wasia haupaswi kuzidi theluthi ya mali ya mtu, kama ndio mali yake ya pekee basi amekosea na huo wakfu sio sahihi.
Ukisikiliza vizuri video dakika ya 4 (4.00 to 4:50), Mtoto anasema Mzee wao ana maeneo mengine kwa ajili ya kuwarithisha watoto wake.
 
Ukitizama body language ya huyo kijana inaonekana wenzie hawajakubaliana na hilo na yeye pia kuna huzuni ameificha ila inaonekana.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Kwani mali ni ya nani
 
Kwani Dini (Uislam) inasemaje kuhusu hilo?

Au unafikiri katika Uislam watu wanatakiwa kujifanyia tu mambo? Hujui hii Dini ina Muongozo kamili wa maisha?

Uelewe kwanza ndio u comment.

Au nawe unafuata mkumbo?
Kwani bila hiyo 'dini' huyo mzee angetupa nyumba yake na kuwanyima wanae?
 
Wazungu mabilionea wasio na dini wanawanyima watoto wao urithi na kupeleka wanakochaguwa wao.
 
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?

video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua

kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake

Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo

imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake

Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria

View attachment 3379922
Hao watoto wazee wazima wameshindwaje kuwa na mali zao
 
Unadhani mzee angeona watoto wake ni potential angefanya kugawa bureee kwa msikiti??

Kuna watoto wajaa LAANA unakuta wamewezeshwa / wamebebwa hawabebeki yaan ni gunia la MISUMARIIIII

Huwezi fananisha familia zenye misingi nyoofuu na wenye ELIMU NZURII ,MALEZI MAZURI, EXPOSURE, WEATH NA MAADILI MEMA

Mzee kaona ni Bora atoe wakfu eneo hilo YASITOKEE YA MSONDO NGOMA

MSONDO NGOMA _TUNATOANA ROHO YARABII KWA MALI ALIZO ACHA BABA FOR SURE MZEE KESHA FANYA RESEARCH KAONA NI BORA KUTOA KWA MSIKITI KULIKO KUWA ACHIA MALI MATOTO MAJINGA MAJINGA NA MASHENZIII

Kama watoto hawana misingi mizuri ni kosa la nani? Wakati wengine wanalea watoto wao wawe watu wa maana, waweze kurithi mali na kuendeleza wewe ulikua unafanya nini? Uache kulea watoto wako kwa misingi imara afu unatafuta mchawi nani? Hili ndo kosa kubwa la wamatumbi mnadhani malezi ni bahati nasibu. Kufeli kwa watoto wako says alot about you kuliko watoto wenyewe ila wamatumbi bado hamjui hilo nyie mnajua kuzaliana tu ila malezi mnaacha yajiendeshe.
 
Kwani Dini yake huyo mzee inasemaje kuhusu hilo? Mnajua Dini yake inasema nini kuhusu hilo? Ni Dini yake ndio inamtaka hivyo au yeye ndio kajifanyia tu?

Tuambie wewe na kawezaje ku-bypass hiyo misingi na hao masheikh wamewezaje kukubali?
 
Kama watoto hawana misingi mizuri ni kosa la nani? Wakati wengine wanalea watoto wao wawe watu wa maana, waweze kurithi mali na kuendeleza wewe ulikua unafanya nini? Uache kulea watoto wako kwa misingi imara afu unatafuta mchawi nani? Hili ndo kosa kubwa la wamatumbi mnadhani malezi ni bahati nasibu. Kufeli kwa watoto wako says alot about you kuliko watoto wenyewe ila wamatumbi bado hamjui hilo nyie mnajua kuzaliana tu ila malezi mnaacha yajiendeshe.
😁😁Sasa mzee kaona isiwe taabu kapeleka urithi msikitinii kaona matoto majinga majinga na yasiyo mtii na kumsikiliza.

☺️😊 Ndugu yangu bufa mlezi mkuu kwa sisi wa KRISTO ni YESU KRISTO wangap tumeshuhudia Wana walea watoto kwenye geti Kali na Sheria kama za enzi ya mafarisayo na masadukayo lakini Bado watoto wakapotea kitabia.

NB.ni sahihi kabisa na muhimu kabisaa KULEA watoto kwa misingi mkuu na kufuata maadili ya JAMII husika.

Kweli mkuu kwenye hili naungana na mzee kuwanyima watoto wajinga wasio jitambua eneo lake na kuupa msikitiii
 
Yesu hayupo duniani kulea watoto wako. Acheni ujinga na kukimbia wajibu wenu. Wenzenu waliachana na hizi story za kusadikika miaka 500 iliyopita ona walipo hivi sasa.

Matoto majinga ni zao la mzazi aliyefeli kuwalea kwa misingi imara.

Unachoongea wewe ni sawa na kusema ugumu na maisha duni ya watanzania hayana uhusiano wa moja kwa moja na serikali ya ccm inayowaongoza.

Kichwa cha familia/serikali ndo inatoa dira watoto/wananchi waje kuwa watu wa namna gani.

Kama matoto yako majinga says more about you kuliko watoto wenyewe. Ukiona matoto yako yote majinga jiangalie wewe zaidi kuliko hao watoto. Miafrika mnapenda kuzaliana ila hampendi wajibu wa malezi mnadhani ni bahati nasibu tu. Huu ujinga haupo kwenye race zingine. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
😁😁Sasa mzee kaona isiwe taabu kapeleka urithi msikitinii kaona matoto majinga majinga na yasiyo mtii na kumsikiliza.

☺️😊 Ndugu yangu bufa mlezi mkuu kwa sisi wa KRISTO ni YESU KRISTO wangap tumeshuhudia Wana walea watoto kwenye geti Kali na Sheria kama za enzi ya mafarisayo na masadukayo lakini Bado watoto wakapotea kitabia.

NB.ni sahihi kabisa na muhimu kabisaa KULEA watoto kwa misingi mkuu na kufuata maadili ya JAMII husika.

Kweli mkuu kwenye hili naungana na mzee kuwanyima watoto wajinga wasio jitambua eneo lake na kuupa msikitiii
Labda kaona hiyo nyumba watoto
Watakuja kuumizana tu,kaona Acha aitoe wafku

Ova
 
Kweli mkuu mzee akihojiwa Kuna kitu kaamua kuepusha.

Maana ndugu wasije wakatoana roho kama TX_MOSHI WILLIAM ALIVYO IMBA KWENYE WIMBO ULE WA TUNATOANA ROHO ( KILIO CHA MTU MZIMA)
 
Angeweza kuiuza,awagawie kila mmoja kiasi,kuliko kuiachia free kama haihitaji
Mpaka ukiona hivyo ujuwe kuna shida kati ya mzee na watoto
Kikubwa mzee kaitoa akiwa na akili zake timamu
Nnavyowajuwa watoto wa kko,kino,magomeni,ilala kwa kusikilizia mali ya urithi sahv ni maumivu tu

Ova
 
Kweli mkuu mzee akihojiwa Kuna kitu kaamua kuepusha.

Maana ndugu wasije wakatoana roho kama TX_MOSHI WILLIAM ALIVYO IMBA KWENYE WIMBO ULE WA TUNATOANA ROHO ( KILIO CHA MTU MZIMA)
Mali za urithi watoto tumbo moja tu kama hawana maelewano ni timbwili!
Sasa mzee kama hyo lazima kazaa na wanawake 3,4
Huyo mzee kachungulia kitu

Ova
 
Kama watoto hawana misingi mizuri ni kosa la nani? Wakati wengine wanalea watoto wao wawe watu wa maana, waweze kurithi mali na kuendeleza wewe ulikua unafanya nini? Uache kulea watoto wako kwa misingi imara afu unatafuta mchawi nani? Hili ndo kosa kubwa la wamatumbi mnadhani malezi ni bahati nasibu. Kufeli kwa watoto wako says alot about you kuliko watoto wenyewe ila wamatumbi bado hamjui hilo nyie mnajua kuzaliana tu ila malezi mnaacha yajiendeshe.
Mambo ya mali za urithi haina cha umatumbi wala kasoma hajasoma
Huko obay ,masaki kuna watoto wanavutana mashati sana tu mali ya urithi na wameenda shule wengine

Ova
 
Back
Top Bottom