Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibla bila shuruti.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
View attachment 3379922
Hapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrongje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
View attachment 3379922
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake ya kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi alizorithi kutoka kwa baba zake na babu zake
View attachment 3379922
Urithi ni zawadi siyo lazima.
Pia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
View attachment 3379922
Hapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrong
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.Mzee wa namna hiyo ni wakumyonga tu ...ashukuru aja zaa mtu kama mimi huyo angepelekwa kibra bila dhuruti.
Ulitumwa kuwazaa kama sio ujinga ,katika uislamu urithi ni lazima hata kama uliwafukuza na kuwakataa watoto wako ..Ngoja ufe utajua .🤣Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.
Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.
NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
Ni kweli unless mzee amewapa tayari mali nyingine zenye thamani kubwa kuliko hiyo au inafanana na hiyoPia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.
Yaani anizae halafu aniacbe taabuni, hapana aise hapo sitaelewana na Mzee kwa kweli.M
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.
Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe
Mzee yupo sahihi kabisa.
min -me
secretarybird
Monetary doctor
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
View attachment 3379922
Huyo ni kobaz usilazmishe afate yanayokupendeza ww kafirurithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake
pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Soma uislamu sio kukurupuka hata afanyaje watoto watapata urithi na waqfi unakuwa kama third party ..Katika uislamu urithi ni lazima ,kama yuko hai hamna urithi siku akifa watapata acha tu aropoke hapo.