The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Familia za watu waliowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wanaendelea shughuli za kuandaa mazishi ya wapendwa wao huku wengine nao wakiendelea kuomboleza baada ya shughuli hiyo kukamilika. ripoti zinasema kuwa watu wengi walipoteza maisha kwenye maandamano hayo.
Mjini Mbeya Famili ya Daktari mmoja ambaye mtoto wake aliuawa baada ya kupigwa risasi kifuani na maafisa wa Ulinzi amesema kuwa familia yake daima itasalia na makovu ya uchaguzi wa mwaka huu.
Daktari huyu anasema kuwa mwanawe aliuawa wakati alipokuwa akienda dukani na kwa bahat nzuri tayari wamekamilisha shughuli za mazishi.