Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa Mlugulu wa Matombo😂😂😂😂Bila shaka atakuwa mluguru mwenzangu huyu..
Hiyo jioni Itakuwa Ndugu yakoJioni tutatangaziwa MSIBA mwingine. Hapo ndo mtajua kuwa mficha maradhi anaumbuliwa na kifo!
Atakuwa yule bibi aliyetutahadharisha tukajifanya hamnazo!!Jioni tutatangaziwa MSIBA mwingine. Hapo ndo mtajua kuwa mficha maradhi anaumbuliwa na kifo!
Rip!Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi.
Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi
Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie
Marehemu apate rehema kwa Mungu apumzike kwa Aman.
Amina
View attachment 1655041
Pia soma > Askofu Mhashamu Anthony Banzi: Tuwaheshimu marehemu, tusiwafunge kwenye viroba
View attachment 1655040