TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

mwanga wa milele umpe ee bwana ............ ...........,apumzike kwa amani.
.............
#Sleep well baba,ipo siku tutajaonana
 
Jamani tangazeni uwepo wa covid 19,watu wanatekeleza kwa ujinga wenu
 
Ameacha watoto wangapi?

Kule Ifakara mapadri wanashindana kuzaa watoto na michepuko yao.

Eee Mungu lisaidie kanisa lako.

Ni bora tu waruhusiwe kuoa.
 
Hizi Tanzia zimekuwa nyingi, sio changamoto kweli?
 

Nyuma ya pazia vifo kuongozana mwisho wa mwaka
 
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
 
Raha ya Milele umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umwangizie, apumzike kwa Amani. Amina.
Aliugua Sana, Bora akapumzike.
 
Back
Top Bottom