TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

R. I. P Baba Askofu Banzi, upumzike kwa Amani
 
Bila shaka atakuwa mluguru mwenzangu huyu..
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, na mwanga milele umuangazie, askofu Banzi apumzike kwa amani. Amina.
 
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangizie. Anthony Banzi apumzike wa Amani, Amina.
 
Duh..!!,hii disemba mbona kama inameza watu sana?
 
WanaJF nasikitika kuwaarifu kifo Cha Askofu Anthony Banzi wa Jimbo Katoliki Tanga kilichotokea Leo asubuhi katika hospitali ya muhimbili.

Tarehe ya mazishi itatangazwa hapo baadaye.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie.
Chanzo Cha habari: padri Charles Kitima,.
Katibu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania
 
Rip!
 
Askofu anthony banzi amefariki leo muhimbili alipokua anapatiwa matibabu
 
TANZIA zmekuwa nyingi sana aisee!
Mungu muweke mahali panapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…