Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nami pia???πAsante mkuu na wewe pia
Kwa hiyo mpaka afe mtu maarufu???? Mbona watu wanakufa kila sekunde???Jioni tutatangaziwa MSIBA mwingine. Hapo ndo mtajua kuwa mficha maradhi anaumbuliwa na kifo!
Una maanisha nini?Jioni tutatangaziwa MSIBA mwingine. Hapo ndo mtajua kuwa mficha maradhi anaumbuliwa na kifo!
Atakuwa Mlugulu wa Matombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]