AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
Yeye yupo bega kwa bega na watekaji.Uamuzi upo mikononi mwa huyo nani sijui Malasusa!
Yes na ndio maana yanafanyika hayo yanayo fanyika.Yeye yupo bega kwa bega na watekaji.
Tatizo la KKKT ni dhehebu la majungu sana, kuanzia kanisani hadi sasa yameingia kwenye taasisi za elimu.Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi. Alikuwa akilipa mishahara kwa wakati km serikali, mishahara ilikuwa inalipwa kila tarehe 25 na kukiwa na mapumziko kabla ya hiyo tarehe alikuwa analipa kabla. Hajawahi kumzuia mfanyakazi kuzuia mkopo benki, kwanza alikuwa hajihusihishi na mambo madogo km hayo
Njoo wa huyu wa sasa Prof. Faustine Mahali, huyu bwana kwanza ameshindwa kulipa mishahara yaani alianza mwaka jana tu, na kufikia mwezi wa 8 mwaka jana hakukuwa na mishahara na kuna wahadhiri waliacha kazi. Wahadhiri wameendelea kuacha kazi kila wanapopata fursa zingine. Mwaka huu tena leo ni tarehe 1 mwezi wa 9 ila mshahara wa mwezi wa 8 haujalipwa na hakuna dalili ya kulipwa. Shida ya huyu bwana sijui ni kwamba ana uwezo mdogo wa kiuongozi au ni roho mbaya kuona wenzake wanateseka sijajua bado.
Inawezekana ana uwezo mdogo maana ni mtu wa vinyongo, visasi, chuki kwa baadhi ya wafanyakazi, unyanyasaji kwa maana ya kwamba tangia aingie madarakani amezuia wafanyakazi kuchukua mkopo benki. Sasa pesa za benki zinamhusu nini? Kwanini mtu mkubwa km VC ajishughulishe na mambo madogo km mikopo ya wafanyakazi? Kazi ambayo ingeishia kwa afisa rasilimali watu? Umeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi bado hutaki wachukue mikopo benki, nia yake ni nini? Na bado mtu mwenye roho mbaya kuliko shetani mnamwita Mchungaji? Ni mchungaji wa nini? Hivi hata mmesahau maana ya uchungaji?
Prof. Mahali ni mnyanyasaji, ni mbaguzi, ana uwezo mdogo hatoshi ktk nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa chuo kikuu hasa ktk enzi hii ya ushindani mkuu wa vyuo vikuu hasa binafsi. Huyu bwana ni mbishi, hashauriki, ni mtu hajiamini. Tangia aingie madarakani wameshaondoka wahadhiri wengi na nitakuletea list na kwa hali iliyopo wataondoka wengi na chuo kitakufa muda si mrefu. Nani ataendelea kuvumilia mazingira ya mateso na maisha yasiyotabirika km haya? Kwanza amekata malipo ya kazi za ziada, amekataza mfanyakazi kuchukua benki, ameshindwa kulipa mishahara, kila atakayepata fursa hasa vijana wadogo wataondoka muda wowote. Idara kadhaa zimeshazuiliwa udahili na TCU maana hazina walimu.
Baba Askofu mkuu baada ya muda mfupi hakuna chuo pale. Hata km unampenda sana, upendo wenu usiwe gharama ya kufuta kile chuo, jambo litalogharimu ajira za watu na madhara mengine mengi ikiwemo serikali kukosa kodi, NSSF kukosa wateja, kwa ujumla itaathiri uchumi wa Taifa kwa ujumla. Suluhu pekee kuokoa kile chuo ni kupeleka pale Vice Chancellor mwingine na ikiwezekana atoke nje ya mazingira ya pale, mtu mwenye EXPOSURE ya dunia ya leo.
Baba askofu mkuu wasaidie wale wafanyakazi wapate haki zao za msingi, walipwe mishahara yao na waruhusiwe kuchukua mikopo benki maana hiyo mikopo haimhusu.
Naona ndugu Mhadhiri umeamua kutema nyongo yote! Picha niliyoipata ni hii hapa 👉 Profesa Mmasai aliwazoesha maisha fulani hivi ambayo wengi mliyapenda! Amekuja huyu Profesa Mahali mambo yamekuwa ni tofauti kabisa.Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi. Alikuwa akilipa mishahara kwa wakati km serikali, mishahara ilikuwa inalipwa kila tarehe 25 na kukiwa na mapumziko kabla ya hiyo tarehe alikuwa analipa kabla. Hajawahi kumzuia mfanyakazi kuzuia mkopo benki, kwanza alikuwa hajihusihishi na mambo madogo km hayo