Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Mkuu umeongea point kubwa Sana watu hameshindwa kuiona Diamond anavyobehave sasahivi Ni matokeo ya malezi ya mama yake
Ukiangalia ana watoto 3 lakini kwenye malezi amewaachia wanawake wake wote haendi kuwaona watoto wake hata siku za birthday.Kijana sio father figure kabisa
Watoto wake wakikua wataona malezi alivyowaachia mama zao yeye akila Bata na kina Gigi money.
Watamfanyia Kama yeye anavyomfanyia baba yake sasa
 
Aisee ni ngumu kumeza...Shida mzee alikuwa hana huo uwezo wa kuhudumia familia zaidi ya moja ila chupi anapendaa..!! mfano sasa diamond lets say anamtumia Zari pesa kwa ajili ya kina tifa au Hamisa kwa ajili ya mwanae Je hawa Kina Zari wanawaambia watoto kuwa Mzee katuma hii hela ya matumizi??? Obvious hawawezi mpa sifa nzuri diamond kwa watoto maana most of time hayupo na familia...na kuwa Baba sio kutoa matumizi tu pia kuna uwepo wako u anahitajika... So shida sio Diamond shida ni Je hao kina zari wanaongea nini kuhusu yeye kwa watoto zake????? Mama ana nafasi kubwa sana ya kujenga uhusiano mzuri kati ya baba na watoto...
 
Unadhani kutuma fedha peke yake ndo kutimiza majukumu? Diamond mwenyewe anafeli Kama baba watoto wake kwa mwaka anawaona Mara moja au 2
Unadhani kutakuwa na affection Kati ya baba na watoto? Wale watoto wakianza kupata akili wataona babayao anayofanya kipindi wanamuitaji.
Diamond amekosa malezi ya baba haoni umuhimu wake ndo maana anafanya hivo kwa watoto wake pia
 
Unaweza ukawa malaya na still bado ukatimiza malezi na kutoa huduma zote hii nimeishuhudia kwa wazee waendesha malori. Mbele huko akina diddy ni malaya lakini bado wanazihudumia na kuzijali familia zao.
 
Yani Anachofanya Diamond sasa ndo hicho Baba yake alimfanyiaa...!! Tofauti diamond ana helaa tu bhasi lakini hakuna Tofauti.. na ubaya anapiga umalaya waziwazii bila kujali kabisa kisa Pesa ipoo...

Daimond na Baba yake hawana tofauti Kimalezi na Tabia ila Kipesa tu.
 
Uwezo alikuwa nao ila tatizo aliendekeza umalaya, hivi mzee unazijua hizi familia za wazee wanaendesha malori, wengi hawana muda na familia zao na ni malaya kuliko huyo Mondi lakini bado wapo wanahudumia familia zao kutokana na nature ya kazi zao. Hata kwa mwezi ukimwona mwanao mara tatu inatosha ila uhakikishe huduma unatoa kwa watoto wake.
 
Yani KARMA IS A BITCH...! yatamrudia tuu tena vibaya sana mfano kumchafua Hamisa ni mchawii aisee Hamisa ile chuki aliyokuwa nayo lazima aipandikize kwa mtoto yani hata diamond akitoa hela kiasi gani labda ampe mtoto direct lakini otherwise Karma atamtafuna maana Pesa huishaaa...
 
Kuhudumia familia zaidi ya moja mzee kwa kipato cha Kuendesha malori sio rahisi kabisaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hiyo ni ngumu.. Pia diamond mwenyewe unadhani anaonana na kina tifa kila baada ya miezi kadhaa so bado hakuna tofauti zaidi tu yeye ana Helaaa...
 
Unaweza ukawa malaya na still bado ukatimiza malezi na kutoa huduma zote hii nimeishuhudia kwa wazee waendesha malori. Mbele huko akina diddy ni malaya lakini bado wanazihudumia na kuzijali familia zao.
Kweli kabisa anafanya umalaya lakini lazima anatenga Muda na watoto wake Tena anawatoto kibao, malezi ya watoto wanaume tunadhani ukituma pesa Basi umemaliza
 
Wanaweza kuhudumia familia zaidi ya moja mimi dada yangu kaolewa na muendesha malori na yy mwenyewe ana watoto nje. Jamaa yangu nakaa nae kitaa baba yao kazaa na wanawake watatu tofauti lakini wote kawahudumia yy na watoto wote wa kiume ni madereva. Alafu huwajui madereva wa malori, hana wanaume malaya kama watu wa malori nawajua inside out.
 
Kweli kabisa anafanya umalaya lakini lazima anatenga Muda na watoto wake Tena anawatoto kibao, malezi ya watoto wanaume tunadhani ukituma pesa Basi umemaliza
Achaa kabisa mkuu.. Mzee anaweza toa pesa lakini Umalaya wa mzee ukawa unamuumiza na kumoa mateso makubwa maza..! kuona ile hali ya mama ananyanyasika anaumia kisa umalaya wa baba inatosha sana kujenga chuki na mzeee.. Hakuna mwanamke ataona mume wake anapiga umalaya eti kisa anatoa pesa za matumizi akawa nae Ok hayupoo...
 
Duuh haya mkuu... bhasi vizuri kama dada ako kakubali hilo na anaishi nalo vizuri..!
 
Kabisa mtu Kama hamisa mtoto wake akikua akiamua kumuonyesha jinsi baba yake alivyokuwa anamtreat automatic yule dogo atamchukia Diamond Ni vile tu Hamisa amue kusamehe
 
Wewe unazani Diamond hatengi muda wake au unataka kila akifanya akuambie wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatzo anapenda macamera sana na wanar wapo sauzi na kila akionana nao lazima tuone mapicha ndo maana ni rahisu kujua kuwa Hajaenda sauzi miezi sita..mitano...
 
Kabisa mtu Kama hamisa mtoto wake akikua akiamua kumuonyesha jinsi baba yake alivyokuwa anamtreat automatic yule dogo atamchukia Diamond Ni vile tu Hamisa amue kusamehe
Kabisa mkuu so ishu ni Mama yake diamond asilimia 100...!!
 
Utafanyaje wakati yeye mwenyewe kapenda na mimba kishapewa, ungekuwa wewe ungefanyaje?
Aaha kimsingi ukiwa mama wa nyumbani unaletewa chakula na kila kitu inabdi uwe mpole tuu.. Ila mwanamke mtafutaji aisee hakubali huo Upuuzi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] Yani moto unawakaa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatzo anapenda macamera sana na wanar wapo sauzi na kila akionana nao lazima tuone mapicha ndo maana ni rahisu kujua kuwa Hajaenda sauzi miezi sita..mitano...
Kwa hiyo sababu hujaona makamera una conclude Diamond haiangalii familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…