brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #201
Mkuu umeongea point kubwa Sana watu hameshindwa kuiona Diamond anavyobehave sasahivi Ni matokeo ya malezi ya mama yakeShida ni Mama yake... Anajenga chuki kubwa sana kati ya Diamond na Mzee wake..!! Laiti angekuwa anaamua mwenyewe kumsamehe angemsamehe muda sanaa na maisha ya ngeendelea.. Ona mfano yeye mbona ana Mtoto na Hamisa...ana watoto na Zari lakini bado anapiga umalayaa tu huko nje na visichana vidogoo... Kimsingi yeye binafsi ni mfano hai wa kujua kuwa mama ake labda alikuwa kikwazo kikubwa mpaka baba ake akaamua kuondoka home..
MAMA AKE DIAMOND NDIO TATIZO TRUST ME..
Ukiangalia ana watoto 3 lakini kwenye malezi amewaachia wanawake wake wote haendi kuwaona watoto wake hata siku za birthday.Kijana sio father figure kabisa
Watoto wake wakikua wataona malezi alivyowaachia mama zao yeye akila Bata na kina Gigi money.
Watamfanyia Kama yeye anavyomfanyia baba yake sasa