Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Shida ni Mama yake... Anajenga chuki kubwa sana kati ya Diamond na Mzee wake..!! Laiti angekuwa anaamua mwenyewe kumsamehe angemsamehe muda sanaa na maisha ya ngeendelea.. Ona mfano yeye mbona ana Mtoto na Hamisa...ana watoto na Zari lakini bado anapiga umalayaa tu huko nje na visichana vidogoo... Kimsingi yeye binafsi ni mfano hai wa kujua kuwa mama ake labda alikuwa kikwazo kikubwa mpaka baba ake akaamua kuondoka home..

MAMA AKE DIAMOND NDIO TATIZO TRUST ME..
Mkuu umeongea point kubwa Sana watu hameshindwa kuiona Diamond anavyobehave sasahivi Ni matokeo ya malezi ya mama yake
Ukiangalia ana watoto 3 lakini kwenye malezi amewaachia wanawake wake wote haendi kuwaona watoto wake hata siku za birthday.Kijana sio father figure kabisa
Watoto wake wakikua wataona malezi alivyowaachia mama zao yeye akila Bata na kina Gigi money.
Watamfanyia Kama yeye anavyomfanyia baba yake sasa
 
Wanaume wa Kiafrica zaidi 90% ni malaya lakini umalaya haukuzuii kutotimiza majukumu yako. Diamond malaya lakini majukumu yake kama mzazi anatimiza, issue nikutimiza majukumu kama baba, ambayo huyu mzee kafeli.

P diddy bonge la malaya na yupo busy lakini still bado yupo karibu na watoto wake. Alafu kosa ufanye mara moja lakini hata kwa Queen Darlin napo alishindwa kutimiza wajibu wake, tukubali mzee alifeli kwa kutowajali watoto wake na ndio maana hata akisema atoe lana haziwapati watoto, sababu umekataa kubeba msalaba wake wa malezi kama mzazi, kwa hiyo hata mbele za Mungu hana kibali cha kutoa lana.

Ila huyu mzee approach ya kutumia vyombo vya habari ili asamehewe, hata kama ningekuwa mm ningemkataa. Issues kama hizi awatafute wazee ambao mama Mondi na Mondi wanawaheshimu na achukue viongozi wa dini wayamalize lakini hivi hata mimi sikusamehi.
Aisee ni ngumu kumeza...Shida mzee alikuwa hana huo uwezo wa kuhudumia familia zaidi ya moja ila chupi anapendaa..!! mfano sasa diamond lets say anamtumia Zari pesa kwa ajili ya kina tifa au Hamisa kwa ajili ya mwanae Je hawa Kina Zari wanawaambia watoto kuwa Mzee katuma hii hela ya matumizi??? Obvious hawawezi mpa sifa nzuri diamond kwa watoto maana most of time hayupo na familia...na kuwa Baba sio kutoa matumizi tu pia kuna uwepo wako u anahitajika... So shida sio Diamond shida ni Je hao kina zari wanaongea nini kuhusu yeye kwa watoto zake????? Mama ana nafasi kubwa sana ya kujenga uhusiano mzuri kati ya baba na watoto...
 
Unadhani kutuma fedha peke yake ndo kutimiza majukumu? Diamond mwenyewe anafeli Kama baba watoto wake kwa mwaka anawaona Mara moja au 2
Unadhani kutakuwa na affection Kati ya baba na watoto? Wale watoto wakianza kupata akili wataona babayao anayofanya kipindi wanamuitaji.
Diamond amekosa malezi ya baba haoni umuhimu wake ndo maana anafanya hivo kwa watoto wake pia
 
Mkuu umeongea point kubwa Sana watu hameshindwa kuiona Diamond anavyobehave sasahivi Ni matokeo ya malezi ya mama yake
Ukiangalia ana watoto 3 lakini kwenye malezi amewaachia wanawake wake wote haendi kuwaona watoto wake hata siku za birthday.Kijana sio father figure kabisa
Watoto wake wakikua wataona malezi alivyowaachia mama zao yeye akila Bata na kina Gigi money.
Watamfanyia Kama yeye anavyomfanyia baba yake sasa
Unaweza ukawa malaya na still bado ukatimiza malezi na kutoa huduma zote hii nimeishuhudia kwa wazee waendesha malori. Mbele huko akina diddy ni malaya lakini bado wanazihudumia na kuzijali familia zao.
 
Yani Anachofanya Diamond sasa ndo hicho Baba yake alimfanyiaa...!! Tofauti diamond ana helaa tu bhasi lakini hakuna Tofauti.. na ubaya anapiga umalaya waziwazii bila kujali kabisa kisa Pesa ipoo...

Daimond na Baba yake hawana tofauti Kimalezi na Tabia ila Kipesa tu.
 
Aisee ni ngumu kumeza...Shida mzee alikuwa hana huo uwezo wa kuhudumia familia zaidi ya moja ila chupi anapendaa..!! mfano sasa diamond lets say anamtumia Zari pesa kwa ajili ya kina tifa au Hamisa kwa ajili ya mwanae Je hawa Kina Zari wanawaambia watoto kuwa Mzee katuma hii hela ya matumizi??? Obvious hawawezi mpa sifa nzuri diamond kwa watoto maana most of time hayupo na familia...na kuwa Baba sio kutoa matumizi tu pia kuna uwepo wako u anahitajika... So shida sio Diamond shida ni Je hao kina zari wanaongea nini kuhusu yeye kwa watoto zake????? Mama ana nafasi kubwa sana ya kujenga uhusiano mzuri kati ya baba na watoto...
Uwezo alikuwa nao ila tatizo aliendekeza umalaya, hivi mzee unazijua hizi familia za wazee wanaendesha malori, wengi hawana muda na familia zao na ni malaya kuliko huyo Mondi lakini bado wapo wanahudumia familia zao kutokana na nature ya kazi zao. Hata kwa mwezi ukimwona mwanao mara tatu inatosha ila uhakikishe huduma unatoa kwa watoto wake.
 
Mkuu umeongea point kubwa Sana watu hameshindwa kuiona Diamond anavyobehave sasahivi Ni matokeo ya malezi ya mama yake
Ukiangalia ana watoto 3 lakini kwenye malezi amewaachia wanawake wake wote haendi kuwaona watoto wake hata siku za birthday.Kijana sio father figure kabisa
Watoto wake wakikua wataona malezi alivyowaachia mama zao yeye akila Bata na kina Gigi money.
Watamfanyia Kama yeye anavyomfanyia baba yake sasa
Yani KARMA IS A BITCH...! yatamrudia tuu tena vibaya sana mfano kumchafua Hamisa ni mchawii aisee Hamisa ile chuki aliyokuwa nayo lazima aipandikize kwa mtoto yani hata diamond akitoa hela kiasi gani labda ampe mtoto direct lakini otherwise Karma atamtafuna maana Pesa huishaaa...
 
Uwezo alikuwa nao ila tatizo aliendekeza umalaya, hivi mzee unazijua hizi familia za wazee wanaendesha malori, wengi hawana muda na familia zao na ni malaya kuliko huyo Mondi lakini bado wapo wanahudumia familia zao. Hata kwa mwezi ukimwona mwanao mara tatu inatosha ila uhakikishe huduma unatoa kwa watoto wake.
Kuhudumia familia zaidi ya moja mzee kwa kipato cha Kuendesha malori sio rahisi kabisaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hiyo ni ngumu.. Pia diamond mwenyewe unadhani anaonana na kina tifa kila baada ya miezi kadhaa so bado hakuna tofauti zaidi tu yeye ana Helaaa...
 
Unaweza ukawa malaya na still bado ukatimiza malezi na kutoa huduma zote hii nimeishuhudia kwa wazee waendesha malori. Mbele huko akina diddy ni malaya lakini bado wanazihudumia na kuzijali familia zao.
Kweli kabisa anafanya umalaya lakini lazima anatenga Muda na watoto wake Tena anawatoto kibao, malezi ya watoto wanaume tunadhani ukituma pesa Basi umemaliza
 
Kuhudumia familia zaidi ya moja mzee kwa kipato cha Kuendesha malori sio rahisi kabisaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hiyo ni ngumu.. Pia diamond mwenyewe unadhani anaonana na kina tifa kila baada ya miezi kadhaa so bado hakuna tofauti zaidi tu yeye ana Helaaa...
Wanaweza kuhudumia familia zaidi ya moja mimi dada yangu kaolewa na muendesha malori na yy mwenyewe ana watoto nje. Jamaa yangu nakaa nae kitaa baba yao kazaa na wanawake watatu tofauti lakini wote kawahudumia yy na watoto wote wa kiume ni madereva. Alafu huwajui madereva wa malori, hana wanaume malaya kama watu wa malori nawajua inside out.
 
Kweli kabisa anafanya umalaya lakini lazima anatenga Muda na watoto wake Tena anawatoto kibao, malezi ya watoto wanaume tunadhani ukituma pesa Basi umemaliza
Achaa kabisa mkuu.. Mzee anaweza toa pesa lakini Umalaya wa mzee ukawa unamuumiza na kumoa mateso makubwa maza..! kuona ile hali ya mama ananyanyasika anaumia kisa umalaya wa baba inatosha sana kujenga chuki na mzeee.. Hakuna mwanamke ataona mume wake anapiga umalaya eti kisa anatoa pesa za matumizi akawa nae Ok hayupoo...
 
Wanaweza kuhudumia familia zaidi ya moja mimi dada yangu kaolewa na muendesha malori na yy mwenyewe ana watoto nje. Jamaa yangu nakaa nae kitaa baba yao kazaa na wanawake watatu tofauti lakini wote kawahudumia yy na watoto wote wa kiume ni madereva. Alafu hawajui madereva wa malori, hana wanaume malaya kama watu wa malori nawajua inside out.
Duuh haya mkuu... bhasi vizuri kama dada ako kakubali hilo na anaishi nalo vizuri..!
 
Kabisa mtu Kama hamisa mtoto wake akikua akiamua kumuonyesha jinsi baba yake alivyokuwa anamtreat automatic yule dogo atamchukia Diamond Ni vile tu Hamisa amue kusamehe
Yani Anachofanya Diamond sasa ndo hicho Baba yake alimfanyiaa...!! Tofauti diamond ana helaa tu bhasi lakini hakuna Tofauti.. na ubaya anapiga umalaya waziwazii bila kujali kabisa kisa Pesa ipoo...

Daimond na Baba yake hawana tofauti Kimalezi na Tabia ila Kipesa tu.
 
Wewe unazani Diamond hatengi muda wake au unataka kila akifanya akuambie wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatzo anapenda macamera sana na wanar wapo sauzi na kila akionana nao lazima tuone mapicha ndo maana ni rahisu kujua kuwa Hajaenda sauzi miezi sita..mitano...
 
Kabisa mtu Kama hamisa mtoto wake akikua akiamua kumuonyesha jinsi baba yake alivyokuwa anamtreat automatic yule dogo atamchukia Diamond Ni vile tu Hamisa amue kusamehe
Kabisa mkuu so ishu ni Mama yake diamond asilimia 100...!!
 
Utafanyaje wakati yeye mwenyewe kapenda na mimba kishapewa, ungekuwa wewe ungefanyaje?
Aaha kimsingi ukiwa mama wa nyumbani unaletewa chakula na kila kitu inabdi uwe mpole tuu.. Ila mwanamke mtafutaji aisee hakubali huo Upuuzi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] Yani moto unawakaa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatzo anapenda macamera sana na wanar wapo sauzi na kila akionana nao lazima tuone mapicha ndo maana ni rahisu kujua kuwa Hajaenda sauzi miezi sita..mitano...
Kwa hiyo sababu hujaona makamera una conclude Diamond haiangalii familia yake.
 
Back
Top Bottom