Sasa kwanini hamlalamikii Darleen au yeye hajamkosea?Queen Darleen mwenyewe anamuita diamond baba unategemea ndo atamsaodia mzee?
Kifupi Ni kwamba siku mama diamond akiamua kumwambia diamond amsamehe baba yake atamsamehe.
Moyo utalaini bila nguvu Ni simple tu mama kuplay party yake
Wewe ulitelekezwa na mzee wako??Endeleeni na ujinga wenu
Huyu baba anaonekana ni mtu mwenye nguvu za kufanya kazi. Nadhani anaendekeza mteremko. Hivi kama huyo mwanae asingefanikiwa ni nani angemsaidia! Si ajabu ungekuta anaendesha maisha yake vizuri kabisa lakini kwa sasa kwa vile ameshakuweka mawazo yake kwenye ''utajiri wa mtoto'' na akili zake zinajikuta zikiuambia mwili wake uumwe na ajisikie kama hawezi kufanya chochote.Watajaza wenyewe na maisha yao. Ila niseme tu huyo baba awache kulalamika kwenye vyombo vya habari sababu suluhu haipatikani huko.
Hii ndio point yeye si kakataa nae dingi akamtae tu maana hawa mama zetu ni miyayusho kama mama anapenda vitoto sababu ya dingi kupiga chini ni halali KabisaAkianza kuwa mahututi ndio watajifanya wanampeleka India. Ila dingi nae anafeli si achukulie Kama Hana mtoto tu
Hebu acheni kuongelea mambo ambayo hamyajui undani wake. Wewe Kama baba usipomjali mtoto wakati ukiwa mdogo usitegemee yeye akujali ukiwa mzee.Ila hii ni roho ngumu.
Siku ya kuzaliwa kagawa zawadi na kafungua mradi wa bodaboda kwa watu wa Tandale, baba yake hamjali?
Ingekuwa mwanamke labda ningeelewa katekwa na mama yake, ila yeye ni mwanaume tena ana tabia za ufuska kuliko alivyokuwa kuwa huyo babake anashindwaje kuelewa kuna wakati mwanaume akishikwa na mwanamke mjanja yuko radhi hata kutelekeza familia.
Queen Darleen ameshindwa? Au lazima diamond? Huyu mzee ana mtoto mmoja tu?amkatie at bim bas..
Mkuu nadhan analalamikia uhisiano wake na diamond Kama baba na mtoto Wala sio ishu ya kusaidiwa Queen Darleen hajawahi kulalamika alitelekezwa Kama diamond na mama yao Ni tofautiSasa kwanini hamlalamikii Darleen au yeye hajamkosea?
Kuna sababu siyo rahisi kijana amtelekeze hivi mzee wake anavyopenda sifa kwa jinsi anavyosemwa angekuwa ashamsaidia huenda kuna kitu huyu mzee alifanya kikamuumiza sana
Huwezi kuforce mahusiano kwakuwa mahusiano hujengwa uwa hayaji tu hivi hivi... Kama hakuyajenga ndo matokeo yake hayo... Sijui Diamond angebaki kuwa maskni mzee angekuwa anahitaji hayo mahusianoMkuu nadhan analalamikia uhisiano wake na diamond Kama baba na mtoto Wala sio ishu ya kusaidiwa Queen Darleen hajawahi kulalamika alitelekezwa Kama diamond na mama yao Ni tofauti
Issue ya kukatiwa bima kwa Nini watoto wengine wasifanye hivyo? Huyu mzee Hana ndugu Kila siku kumlaumu mtoto? Unadhani kwa hizo lawama hata km diamond anampango wa kumsamehe atafanya hivyo.Mkuu nadhan analalamikia uhisiano wake na diamond Kama baba na mtoto Wala sio ishu ya kusaidiwa Queen Darleen hajawahi kulalamika alitelekezwa Kama diamond na mama yao Ni tofauti
Kaka unagalia na nature ya kazi yenyewe sasa wewe unataka afanye nini,alafu kazi yake sio kwamba kila siku atakuwa yupo bize kuna kipindi mziki atadrop atakuwa karibu na familia yake sasa hivi ni wakati wake wakutafuta hela kazi nyingine hizi ni za msimu.Ikifikia hapo atakua amechelewa..! Watoto anza nao wakiwa wadogo
Mwenyewe nashangaa mbona hamlalamiki Dorleen ?Queen kwenye kipindi cha Shilawadu alimbwenga mpaka matusi mpaka wakawa wanayaminya.Sasa kwanini hamlalamikii Darleen au yeye hajamkosea?
Kuna sababu siyo rahisi kijana amtelekeze hivi mzee wake anavyopenda sifa kwa jinsi anavyosemwa angekuwa ashamsaidia huenda kuna kitu huyu mzee alifanya kikamuumiza sana
Kuna kipindi fulani Shilawadu Baba Diamond ashawahi kumlamikia Queen hamjali na Queen akamtukana mpaka matusi kwenye simu wakawa wanaminya,sasa jiulize mtu kama Queen angekuwa yupo vizuri na baba yake asingemtukana vile.Huyu mzee akubali yeye ni tatazo haiwezekani uwe na tatizo moja la malezi kwa watoto wawili tofauti .Mkuu nadhan analalamikia uhisiano wake na diamond Kama baba na mtoto Wala sio ishu ya kusaidiwa Queen Darleen hajawahi kulalamika alitelekezwa Kama diamond na mama yao Ni tofauti
Yaani me pia nimewaza hivi ...hivi mond angekuwa fukara tu huyu mzee angesema diamond mwanangu kila Mara? Kama anataka mtoto amtunze na yeye angemtunza tangu kipindi hicho..hawa wazee wa hivi waantia hasira sanaTena inabidi diamomd aanzishe kampeni ya kuwanyoosha hao "sperm donor" wanaodonate sperm na kukimbia halafu wanajifanya kumtambua mtoto akishatoboa..
Imagine diamond angekuwa mvuta bangi kitaa mzee angejifanya kumjua.
Kama alimchukulia poa utotoni kwa nini anajileta sasa?