Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwakweli inasikitisha sana, wanatia huruma daily drama tu watengeneze reality show itawalipa.familia ile huiwezi mkuu ..ni sampuli flani ya watu wa uwanja wafisi
hahaaaa ..uliongea point then anajitokeza mtu mwenye utindio wa ubongo ana kudiss tena huku akiwa hana hoja ya msingi
Mkuu ulimaanisha attention?Ila huyu mzee anapenda sana tension za media kila siku kulalamika tuuu...
Hahaha...ndio mkuuMkuu ulimaanisha attention?
Kwani unaposema baba Askofu ina maana huyo asakofu ndo kampga kitu mamako, we wa wapi usiejuwa KiswahiliHuyo queen atasemaje baba yake ni Nasibu?? kua Nasibu ndio alilala na mama yake akazaliwa yeye??
Maneno mengine ni kufuru ila watu hawazingatii hilo maskini.
kwakweli .utamwambiaje baba yko vile..eti baba yangu ni Nasibu..daaah hata kama nikweli kuwa mshua hakusaidii but unavunga tu ili yasifike kwenye JamiiKwakweli inasikitisha sana, wanatia huruma daily drama tu watengeneze reality show itawalipa.
Kakurupuka na hangover ya matapu tapu.... hahahaha
unapulizwa wewe sio burehahaaaa ..uliongea point then anajitokeza mtu mwenye utindio wa ubongo ana kudiss tena huku akiwa hana hoja ya msingi
huu mlio wa mbwata sijawahi kuusikia na sijui unafananaje ,mwenye huo mlio atuwekee hapa tuusikie[emoji3][emoji3]Waswahili wakipata matako hulia mbwataaaa
S --- meaning shoga ...siongei na machoko aiseeeunapulizwa wewe sio bure
Hang over ya gongo ikikutoka kasome tena.Kwani unaposema baba Askofu ina maana huyo asakofu ndo kampga kitu mamako, we wa wapi usiejuwa Kiswahili
Tehe jicho LA tatu shikamooWanawake wa Kiislam wanaruhusiwa kulibeba jeneza?
kwani kusogelea jeneza ndo kubeba jeneza ?Wanawake wa Kiislam wanaruhusiwa kulibeba jeneza?