Baba Diamond: Queen Doreen ni mnafiki, nikifa asisogelee jeneza langu

Baba Diamond: Queen Doreen ni mnafiki, nikifa asisogelee jeneza langu

Hii familia km ile ya Kina Kim Kardashian,,vtuko kla sku
 
Hawa wawe na kipindi kwa tv, keeping up with the chibus wana vimbwanga sana.
 
GPL.. Nimekata mzuka wa kusoma, lkn pia mzee Abdul amenena kitoto...
 
Huyo queen atasemaje baba yake ni Nasibu?? kua Nasibu ndio alilala na mama yake akazaliwa yeye??
Maneno mengine ni kufuru ila watu hawazingatii hilo maskini.
Ninavyofikiria mimi ni kwamba ...kaka yake aliplay ile baba role kuliko baba mzazi....tatizo ni tulivyoipokea ukiongeza na shigongo tena ndio balaa linazuka
 
Shigongo kamuingiza kwenye 18 mzee Abdul na usikute hata Queen Darleen hakusema.
 
Hawa wawe na kipindi kwa tv, keeping up with the chibus wana vimbwanga sana.
hahahaha Doreen kamwaga mboga sasa baba katoa masufuria kabisa......
amenichekesha kwa kusema anachoma picha zote za Doreen...............
 
Darleen kakosea sababu diamond ana pesa ndio umkane Baba yako ebu wakae chini wamalize tofauti zao
Hivi una amini Doreen kayasema yote hayo? hahahaha shingongo ana dhambi ya uchonganishi
 
Ninavyofikiria mimi ni kwamba ...kaka yake aliplay ile baba role kuliko baba mzazi....tatizo ni tulivyoipokea ukiongeza na shigongo tena ndio balaa linazuka
Hata huyo kaka yake wamejuana ukubwani huyo mzee wanajuana tangu utotoni... atamfananishaje Diamond ambae ni mdogo kwake na mzazi wake??
Huko ni kukosa akili na ufahamu.
 
Huyo queen atasemaje baba yake ni Nasibu?? kua Nasibu ndio alilala na mama yake akazaliwa yeye??
Maneno mengine ni kufuru ila watu hawazingatii hilo maskini.
Aliposema Baba yake ni Nasibu wee umemtambua Nasibu yupi??
Hebu tuambie ktk familia yako wewe huna baba mwingine ispokuwa aliyelala na mamaako tu? Kwanini alale kwanza na mamaako ndipo awe babaako??
 
Aliposema Baba yake ni Nasibu wee umemtambua Nasibu yupi??
Hebu tuambie ktk familia yako wewe huna baba mwingine ispokuwa aliyelala na mamaako tu? Kwanini alale kwanza na mamaako ndipo awe babaako??
Hang over ya matapu tapu ikikutoka nenda kasome tena.
Pathetic.
 
Aliposema Bbake ni Nassibu ana maana ndio anaemtegemea kumsimamia kama baba na mtoto wa kiume ni sahihi tu
Mimi nilimuelewa sana tatizo situation iliyopo na kutoa maneno hayo ndio inafanya watu wamfungukie huyo bi mdada.

Hizi kauli hua sio nzuri kabisa utashangaa yanarudi kwenye ukoo kuumbe bibi mzaa bibi aliwahi kuongea.
 
Back
Top Bottom