Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Baba aliweza kupanda mbegu kisha akakausha huyo sio baba ni mvulana, mtu mwenye busara uhakikisha anatoa huduma au hata kumwona mwanae haijalishi kuna ugomvi kiasi gani baina yake na mwenzie. naomba diamond amache tu yeye aangalie maisha ya aliyemwangaikia.

SI ndio wanajisifu wavulana kuwa hata nikimtelekeza mtoto akikua atanitafuta sasa wajue dunia imebadilika watoto wa siku hizi wanajitambua, yeye afe tu.
 
kama alizingua kipindi hicho mwanae ni mtoto sasa kivipi alete lawama za kijinga Hili liwe fundisho ...Asisamehewe kabisa
Wewe hutumii kichwa..babako ni babako tu..hakuna replacement..kuzingua au kutokuzingua hayo mungu ndo anajua..yeye ampeleke hospital..how much does it cost!kama sio yeye huyo diamond angekuwepo duniani..dont talk that shit son..world is full of suprizes!
 
mi na wewe hatujui sababu za kutengana kwao, pengine walipotezana kila mmoja hajui mahali alipo mwenzie baada ya kutengana na walipotafutana wakashindwa kujuana mahali kila mmoja alipo??? ingekua mama ndo kamtelekeza mwanae af akalelewa na baba, ungesema ayo maneno??
 
Leo naona. pichazake anahesabu Dollar kunamanufa!gan babayako hoi unahela makalioni aijalishi alikutendeanini. wapo waliokanwanababazao. leo. wanasimama kamakaka wWATOTO tufanyesehemu yamaishayetu jua. kuna. mbingu baadayahapo
 
Wewe hutumii kichwa..babako ni babako tu..hakuna replacement..kuzingua au kutokuzingua hayo mungu ndo anajua..yeye ampeleke hospital..how much does it cost!kama sio yeye huyo diamond angekuwepo duniani..dont talk that shit son..world is full of suprizes!

Hahaaaa Mpwaaa anatumia. Mh???
 
Sosad
kuelekea zari show. Babayake diamond ambae anaumwasana miguu ameshindwa hata kutembea ameomba mwanae amsamehe kamababa napia ameomba ajekumtembelea ampeleke hosp asisubir. Kufa

sisemi kwaubaya m nimmoja wanaojua maishayababanamama waliotengenaw ukweli aijalish ukolevel gani ugomvi wamamayako. Nababayako. Usiingilie. Hatasikumoja tafadhalini...

Narudiatena diamond akifaleobabayako hutopata. Babawakukodi

kilalakheri
hakuna kusamehewa.....pumbavu kabisa.
 
Mkuu una point ila kwa nini unayaandika haya leo? Tena unaandika kabisa kulekea Zari Show???? Mambo ya kifamilia hayawezi kumalizwa namna hii!

Ametumwa huyu,maana anajua leo kuna ZARI show all in WHITES.
Acha zako hizo,
Acha majungu mleta mada.Tupe nasie mgao uliopewa wa kuharibu show ya mwenzio.

Sio kweli kwamba Diamond amemtupa baba yake namna hiyo na muwe mnafuatilia Tv shows anazohojiwa Diamond ndio mtajua..
Yule dogo muelewa sana,hayo ndio mambo yale ya kanumba na baba yake watu kuyakuza.
Baadhi ya watu wanatumia nafasi hiyo kukuza mambo,na wakitaka amsaidie baba yake akama navyomsaidia mama yake.Hilo haliwezekani hata kwenye Dini lazima mama awe na nafasi yake kubwa.
Na mbaya zaidi huyo Baba yake ana watoto wengine tele tofauti na Diamond,sasa hao ndio wanaokuza mambo haya.Maana wanajua dingi akipata mshiko kutoka kwa Diamond na wao wanaponea humohumo.na hata kama Diamond akimjengea nyumba ni kwamba lazima watoto wengine walianzishe.
Sasa mie naamini kwamba Diamond hafanyi ujinga huo wa kumtupa mzee wake,na wala yeye sio wa mwanzo kwa Mababa kufanya hivyo.Humuhumu JF tumo,lakini kwa vile umaarufu ndio yanatokea hayo.
Ujumbe tu ni kwamba mzee aridhike na anachosaidiwa,na hao wanaomshawishi aongee na Medias wana ajenda zao za siri.
 
Niwe open kabisa ningelikuwa Nasib Abdul hakyamungu baba huyu nisengeli msaidia hata kiduchi wacha mungu anihukumu
 
Attachments

  • IMG-20150501-WA0053.jpg
    IMG-20150501-WA0053.jpg
    48.3 KB · Views: 605
Huyu mzee aliuza nyumba ya urithi Kariakoo zaidi ya milioni 200 kipindi hicho halafu akawa anaenda kumringishia mama ake diamond na magari ya kifahari ..
 
Ametumwa huyu,maana anajua leo kuna ZARI show all in WHITES.
Acha zako hizo,
Acha majungu mleta mada.Tupe nasie mgao uliopewa wa kuharibu show ya mwenzio.

Sio kweli kwamba Diamond amemtupa baba yake namna hiyo na muwe mnafuatilia Tv shows anazohojiwa Diamond ndio mtajua..
Yule dogo muelewa sana,hayo ndio mambo yale ya kanumba na baba yake watu kuyakuza.
Baadhi ya watu wanatumia nafasi hiyo kukuza mambo,na wakitaka amsaidie baba yake akama navyomsaidia mama yake.Hilo haliwezekani hata kwenye Dini lazima mama awe na nafasi yake kubwa.
Na mbaya zaidi huyo Baba yake ana watoto wengine tele tofauti na Diamond,sasa hao ndio wanaokuza mambo haya.Maana wanajua dingi akipata mshiko kutoka kwa Diamond na wao wanaponea humohumo.na hata kama Diamond akimjengea nyumba ni kwamba lazima watoto wengine walianzishe.
Sasa mie naamini kwamba Diamond hafanyi ujinga huo wa kumtupa mzee wake,na wala yeye sio wa mwanzo kwa Mababa kufanya hivyo.Humuhumu JF tumo,lakini kwa vile umaarufu ndio yanatokea hayo.
Ujumbe tu ni kwamba mzee aridhike na anachosaidiwa,na hao wanaomshawishi aongee na Medias wana ajenda zao za siri.

ASINGEMZAA USINGEONGEA HAYA KWAKUWA.ULIMZAA WEWEE.SINACHA.KUONGEZA. FuNGUA WEBYA BURDAN. UJUE. ILIPOTOKEA
 
Diamond ni kijana mzuri, na mwelewa kama tulivyoona hata alimhurumia mzee ngurumo akampa gari, inabidi jamii itumie fursa hii kumuasa diamond na hasa mama yake diamond, anapaswa alione hili kwani naye bado anaishi huenda mwenyezi mungu anawapima imani, binafsi mimi kama mzazi nawaomba wampe adhabu ya kumpenda na kumsaidia bila masharti na Mungu atawabariki.
 
Huyu mzee aliuza nyumba ya urithi Kariakoo zaidi ya milioni 200 kipindi hicho halafu akawa anaenda kumringishia mama ake diamond na magari ya kifahari ..

Aijalishi lakipesa. nimerudiatena usiguseugomvi wawazazi waje...kamauamini. angalia. mkeulienae nini. mbali. muulize machungu yawanawake. Aliopata DIAMOND. kufikia. hapo. utajua siriyawazazi HUMONDANI

Kirohosafi DIAMOND. msaidiebabayako. India ufahamu. Weka baraka zawatotowako
 
Back
Top Bottom