Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

watu wanaomtetea huyo baba naona ni wale ambao hawakutelekezwa na baba zao,unaenda nyumbani kwakwe kumuomba ada anakwambia toka mbwa we unatia harufu tu hapa,hahahaa sikupi hata mia na laana yako hata uende kwa mganga mkuu wa dunia hainipati!Inauma sana nyie msiseme,unaenda shule viatu vimechanika ,huna madaftari wakati babako yupo na ana uwezo!
 
Hivi Hana watt wengine huyu?
C nasikia kina queen darlin ni ndugu au hao wengine yawana hela?
 
Wakati huyu mzee ana pesa ndefu ikawa Diamond akimfata magomeni kumsalimia tu alimfukuza akimwita chokoraa, akuwai kujua anakula nini wala anapona na nini akiugua. Leo unatafuta huruma kwenye media, malipo siku hizi ni hapa hapa duniani.
Watoto ulioona wa maana wako wapi? Diamond angeishia kwenye drugs kama wenzake wa Tandale ungemkumbuka? Mi naomba usife mapema ili uendeleee kukiona cha moto.
 
wewe ni mwenyekiti wa wanawake wenye roho mbaya,
kama ndivyo ulivyo wazazi wako wamekula hasara.

Kama umezoea chovyachovya na kuacha watoto kwa kigezo wakikua watakutafuta imekula kwako, mimi nimelelewa kwenye ndoa mbichiii hadi leo na umri wangu huu nahisi my dad anavyomtendea my mom na sie watoto ni mwanaume zaidi ya wanaume, sasa kwanini nikae nifurahie wazazi waliotelekeza watoto, aisee kama ni roho mbaya hapo ninayo plus, na kamwe hutoona naunga mkono hili jambo, sio jambo lakuchekewa kabisa, angalia watoto wa nje wanakuwa kukahangaika sana hadi wanafanikiwa, nasema tena baba wa aina hii shenzi taipu na akufe tu, ujana awahudumie akina nani uzee amlili diamond?????? simpendi diamond ila kwa hili namuunga mkono, afanye yake.
 
kama alizingua kipindi hicho mwanae ni mtoto sasa kivipi alete lawama za kijinga Hili liwe fundisho ...Asisamehewe kabisa

Maisha ya kimapenzi yanamambo mengi unaweza kukuta mlikua mnapendana mkazaa mtoto,baadae mkazinguana,kama vile NAY na mama mtoto wake ,alafu mama akaropoka kwanza huyu sio mwanao,na kipindi hiko hakukua na DNA,mzazi wa kiume atafanyaje,mara nyingi wanawake wanapenda kuchonganisha mtoto na baba yake,na kujifanya anaweza kumlea pekee yake unategemea nini sasa...kuna mwanamke niliwai tembea nae,ana mtoto,mzazi mwenzie walizunguana tokea akiwa na mimba,mwanamke akakataa kuendelea na na huyo MWANAUME ila ana mimba yake,wakaachana ,yule jamaa kila akitaka mahusiano mwanamke hataki,na hanajifanya ataki msaada wa huyo bwana,lakini ananisimulia alipata tabu sana kulea mimba,na mtoto,tulipokua wapenzi nashangaa anataka kunipa majukumu ya kumtunza mwanawe,ada n.k..nikakataa,nikamwambia mtafute mzazi mwezio mlee,baba wa mtoto mpaka sasa anamtaka mwanawe,mama hataki,je baadae mtoto akitoboa ,anamdharau babayake kisa maneno ya mama
 
Wakati huyu mzee ana pesa ndefu ikawa Diamond akimfata magomeni kumsalimia tu alimfukuza akimwita chokoraa, akuwai kujua anakula nini wala anapona na nini akiugua. Leo unatafuta huruma kwenye media, malipo siku hizi ni hapa hapa duniani.
Watoto ulioona wa maana wako wapi? Diamond angeishia kwenye drugs kama wenzake wa Tandale ungemkumbuka? Mi naomba usife mapema ili uendeleee kukiona cha moto.

Kama haya madai yana ukweli ndani yake basi , diamond pole sana.

Fundisho kwa wazazi na jamii.

Haya mambo yanatokea sana hasa kwenye familia zetu baba kumpenda huyu na kumchukia yule. Matokeo yake baba anajenga mpasuko na mtengwa kujisikia vibaya ndipo Mungu anapogeuza kibao.
Wale baba anao wapenda hawawezi kumsaidia.
Baba ana agukia kwa yule anaemchukia matokeo ndio kama haya.

Diamond chapa kazi songa mbele.
 
watu wanaomtetea huyo baba naona ni wale ambao hawakutelekezwa na baba zao,unaenda nyumbani kwakwe kumuomba ada anakwambia toka mbwa we unatia harufu tu hapa,hahahaa sikupi hata mia na laana yako hata uende kwa mganga mkuu wa dunia hainipati!Inauma sana nyie msiseme,unaenda shule viatu vimechanika ,huna madaftari wakati babako yupo na ana uwezo!

Aisee hawajui uchungu wakutelkekezwa hawa, nimekulia kwenye ndoa takatifu ila nilijifunza kitu kutokana na kuona wazazi wangu wakiwasaidia watoto wengi waliotelekezwa, inatia uchungu sana sana, unakuta baba anao uwezo kabisa ila kaangalie mwanae anavyohaika kutafuta ada kwakuunga unga hadi anamaliza shule, mtoto akifanikiwa baba yupo kwenye fainali ya uzee ndio anamkumbuka mtoto, aisee!!!! si wakusamehewa hawa watu kabisa
 
Muache kutelekeza watoto liwe fundisho,diamond alishasema huyo baba alikuwa tajiri Lakin aliwatelekeza analilia nini

kwa vyovyote vile mzazi sio wa kumtelekeza. Diamond ana pesa yani kutoa tu kidogo kwa ajili ya mzazi anashindwaaa?
kina Wema waliomsaliti siku walirudiana na zawadi za magari juu af leo hii ndio ushindwe kumsamehe mzee....
 
Domoo bwana mambo yake sibir afe alafu tumuone ayafanya nn yy na mama ake
 
Ubaba au umama unajengwa na mzazi mwenyewe na sio mtoto.
Ikiwa baba diamond alishindwa kua mzazi wakati diamond na mama yake wanateseka, leo anataka nini?
Nina mdogo wangu wa kike kwa mama mdogo aliachana na mume wake wakiwa wamezaa watoto wawili wote wa kiume. Waliachana mmoja akiwa na miaka minne na mdogo akiwa hata hajafikisha miaka miwili.
Mume akachukua mtoto mkubwa akamwambia mkewe abaki na mdogo ila atatoa matumizi.
Mdogo wangu akadanganywa sijui na nani, akili yake finyu akaenda kumtupia mume yule mtoto mdogo kwa madai kua hakwenda na watoto
alipoolewa. Nakumbuka shemeji yangu aliumia sana kuletewa mtoto mdogo bila hata kujitayarisha.
Alichomwambia yule mke wake "asante kwa kuniletea huyu mtoto, ni wangu sitamtupa na nitamlea"
After few years shemeji yangu akaoa mke mwingine, mwenye upendo na watoto. Mdogo wangu hakuwahi kukanyaga hata siku moja kuona wale watoto mpaka mkubwa alipokua darasa la 5, mdogo akiwa la kwanza. Alienda kuwaona shule. Mtoto mkubwa alimkumbuka kama yuko ndotoni, mdogo alimkana kua mama yangu yuko nyumbani, meaning yule mama wa kambo.
Hadi leo mkubwa yuko UDSM mwaka wa mwisho mdogo yuko form 6.
Mkubwa kidogo anajua kuna mama somewhere lakini mdogo hataki hata kusikia ana mama mwingine zaidi ya aliyemlea.
Kuna mambo mengi yaliyokea hapo kati nimefupisha sana story.
baba diamond aumwe miguu yake na awe mpole maana alishindwa kua baba wakati alipohitajika.
Kama diamond ataingiwa ubinadamu anaweza kumsaidia, lakini sioni kama kuna ulazima, kwanini yeye awe mtoto kwa baba wakati baba alishindwa kua baba kwa mwanae.
Naomba hii iwe fundisho kwa wababa na wamama wote mliotelekeza watoto halafu mnaomba huruma ya watoto wanapofanikiwa. Hakuna laana yoyote itakayompata diamond maana hakuna gharama yoyote huyu baba katumia juu ya diamond.
 
Asamehewe sasa, atakuwa ameshajifunza.....Diamond msaidie baba matibabu sasa.
 
Aisee hawajui uchungu wakutelkekezwa hawa, nimekulia kwenye ndoa takatifu ila nilijifunza kitu kutokana na kuona wazazi wangu wakiwasaidia watoto wengi waliotelekezwa, inatia uchungu sana sana, unakuta baba anao uwezo kabisa ila kaangalie mwanae anavyohaika kutafuta ada kwakuunga unga hadi anamaliza shule, mtoto akifanikiwa baba yupo kwenye fainali ya uzee ndio anamkumbuka mtoto, aisee!!!! si wakusamehewa hawa watu kabisa

yani ndo hapo ukifanikiwa ndo anakujua,kama kweli ana akili huyo baba angemlea diamond kwasababu ugomvi wake ulikua kati yake na mama yake diamond,mtoto anakosa gani! am talking from experience babangu alinitelekeza nikiwa na mwaka mmoja,Mungu awabariki wazazi wako mwaya!
 
kwa zari show ndio nn what the hell kudos

baba ni baba tu zari show tupa kule .kwa hospital bei gani kipi zaid ya radhi ya mzazi na show za kijinga

wazazi ni Munguvwa pili haijarishi amekufanyia nn.

hingera pdidy kwa kumkumbusha domo

Uyo mzazi anakuwa ni mungu wa pili kama anakujali na kukusamini alaf wewe hupokei upendo anaokupa hata mungu atakulaani ila kama hajamjali toka mwanzo hayo ndo majibu yake...kulea ni kazi sn acha chibu ampende mama yake amefanya kazi kubwa.uyo baba apate shida ili ajutie kuwa hujafwa hujaaumbika
 
Back
Top Bottom