femalepilot
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 258
- 118
watu wanaomtetea huyo baba naona ni wale ambao hawakutelekezwa na baba zao,unaenda nyumbani kwakwe kumuomba ada anakwambia toka mbwa we unatia harufu tu hapa,hahahaa sikupi hata mia na laana yako hata uende kwa mganga mkuu wa dunia hainipati!Inauma sana nyie msiseme,unaenda shule viatu vimechanika ,huna madaftari wakati babako yupo na ana uwezo!