Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea
Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio muhimu yanayofanyika Shuleni kwao na humuongezea Mtoto Uwezo wa Kujiamini na kujaribu Vitu vipya
Ewe Baba wa leo, huwa unashiriki kwenye Matukio ya Shuleni kwa Mtoto wako au Shule wanamjua Mama tu?