Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ukiwafatilia vijana pia wanasema ukoloni but mzazi unaweza Tenga mda kuongea na vijana ata kama ni late night just to get closer with them nao kufeel proudNakumbuka Mzee wangu hakuwahi kugusa kikao chochote cha Shule, Yani ile orodha ya majina ikipita always jina langu halipo pale kwenye list Hadi walimu wakazoea ile Hali, Mzee kipindi hicho alikuwa Yuko busy vibaya mno unamuona muda wa kula tu usiku na asubuhi inabidi umuwahi kweli Ili umsalimie na Wala sijui alikuwa anafanya kazi gani, nilikuja kujua Niko mkubwa kabisa lakini simlaumu ilibidi iwe vile. In short nilikuwa najiongoza mwenyewe lazima ww mwenyewe useme Mzee nataka nguo mpya, viatu vipya sijui hiki kimeisha, mitihani yote hakuna unaouliziwa, yy anataka ripoti mwisho wa term na ubaya ni kwamba ukiwa umefeli hahah aisee utajuta na usiposema mahitaji yako utabaki hivyohivyo hahah ukoloni mtupu...Mimi sitaki kuwa kama Mzee abadani, vijana lazima niwafutilie Kwa kina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh huwa naenda kuna siku nlimsaidia hw kumbe tumekosea
Kitoto kibishi hiki kikasema ni baba alinisaidia
Mwalimu akamwambia wewe na baba yako wote Wajinga
Alooh nlienda pale shule nlibishana na yule mwalimu [emoji23][emoji23] yaani basi tu
Nkaanza na hili swali ndugu mwalimu unaijua collatz conjecture ?
Swalehe anafeli sana lile somo
Kikao cha sa hivi nkadai haki za mikate Swalehe ananiambia slesi nne sa hivi badala ya tano
Slesi moja imeenda wapi
Naandaa mkeka kabisa ntatengeneza na graphs kabisa za idadi ya watoto tujue mkate mmoja unaenda wapi
Na Swalehe desk mate wake alkua demu wa kihindi almkubali mwalimu akamhamisha demu nataka nkutane na huyo mzee wa kihindi
Akina mama wameteka michakato yote. Kila tukio la shuleni mama ndiye anataka aende yeyeEwe Baba wa leo, huwa unashiriki kwenye Matukio ya Shuleni kwa Mtoto wako au Shule wanamjua Mama tu?
Mimi mwaka wa pili huu ninampeleka shuleni boarding kila shule inapofunguliwa, nimehudhuria visiting days zote na mara zote nimempokea kituo cha basi kila alipofunga shule. Mama yake nimeacha apumzike, hiyo kazi ninaimuduKwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea
Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio muhimu yanayofanyika Shuleni kwao na humuongezea Mtoto Uwezo wa Kujiamini na kujaribu Vitu vipya
Ewe Baba wa leo, huwa unashiriki kwenye Matukio ya Shuleni kwa Mtoto wako au Shule wanamjua Mama tu?
Baba bulubendi katika ubora wako🤣Eeh huwa naenda kuna siku nlimsaidia hw kumbe tumekosea