Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

Anawalea Maxence Melo . Nitashangaa sana kama hatawapa vyombo vya ulinzi na usalama taarifa za huyu kichaa ili at iwe nguvuni.
Magufuli aliwapandikiza hawa wajinga wengi wakajiona ndo wenye nchi hii kwa iyo wanafikiri hii ni nchi yao
 
Waambie waambie Sisi tulishawashauri Hadi tumechoka
 
Sijafiatilia kilichoendelea Dom ,ila kama kweli hajatajwa, basi hajatendewa hakika jmn ! Khaaa, mnyonge mnyongeni .....
Hajatajwa wakati picha yake ilikuwepo ukutani pamoja na marais wengine waliopita.

Isitoshe zimetolewa tuzo mbili tu kwa marais waliofanikisha uwepo wa hiyo ikulu. Kapewa Nyerere na Magufuli tu. Sijui watu walitaka nini zaidi ya hapo?

Ukisikiliza historia ya hiyo ikulu ambayo JK aliwahi pia kuisoma wakati wa kuweka jiwe la msingi na Magufuli akiwepo alielezea mchango wa kila rais aliyepita japo watu wanataka ionekane ni Magufuli tu peke yake. Hiyo si sawa.
 
Mtoa post una kitu cha maana ,,hoja yako ina mshiko unapaswa usikilizwe.
 
Kumbe , hapo sawa👍
 
Kumbe wewe ni shetani na unajua huko jeraham kukoje?Yule aliombewa mpaka na mapadre Kwa hiyo yupo mbiguni
Hatuendi mbinguni Kwa kuombewa mkuu, ila Kwa kutubu, yaani wewe binafsi, yaani kutengeneza mahusiano yako wewe na Mungu ndo maana Kila mmoja atajibu peke yake atakufa siku yake.
 
Duh nimecheka 🤣🤣🙌
 
Sijafiatilia kilichoendelea Dom ,ila kama kweli hajatajwa, basi hajatendewa hakika jmn ! Khaaa, mnyonge mnyongeni .....
Katika hotuba yake Rais Samia kamtaja mara kadhaa na kuelezea vizuri mchango wake, na kuhitimisha kwa mumwombea raha ya milele na pumziko la amani.
 
Japo mimi team sukuma gang,
lkn kwa mambo haya ya kuabudu mizimu acha tu niwe Upande wa walio hai wenye kumuabudu MUNGU MKUU.

#DKT:SAMIA-ANAJALI_NA-KUTHAMINI-JAMII

#KAZIIENDELEE[emoji253][emoji253][emoji253][emoji253]
 
Mwenendo wa JPM uliwakosha wote wapenda maendeleo
 
Ulisalimiana naye
 
Nilikuwa sikubaliani na magufuli kwenye maeneo mengi ila huwezi kamwe kumtengenisha jpm na miradi hii;ndege za atcl,mradi wa ikulu dodoma, mradi wa reli ya SGR,mradi bwawa la Nyerere, daraja la kigongo busisi hata kama wanasiasa wengine mtataka kujichukulia maujiko kama mmoja leo lakini ukweli wote tunaujua daima,halafu ukim appreciate mwenzako wewe unapungukiwa na nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…